Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Jamaa wa ikuru kashafanya yake safi kaniambia nimsogeze dogo pwani [emoji23]
 
Connection ambazo sio za ndugu haziji kibahati mbaya tu ila zinajengwa kwa nidhamu

Kuna dogo mwaka 2020 alikuwa ni fundi rangi (alikuwa anafundishwa na kaka yake baada ya kumaliza form six)

Katika harakati zao za upakaji rangi wakajuana na mibanga mbalimbali like mameneja wa Tigo,voda,tanesco,tbs nk
Wakajuana na mibanga wengine wa jwtz polisi tanapa nmb nk

Sasa juzi nikampigia simu kaka yake na huyo dogo nilitaka amwambie dogo aje anipakie rangi dinning room (huwa nampenda aje huyo dogo sababu yupo very humble)

Kaka yake akanijibu kuwa "DOGO ALIPATA CONNECTION NOW YUPO NCHI MOJA WAPO YA middle east ANACHUKUA KOZI YA cyber security......na NYOTA YA PILI...."

In short young man alipata connection kwa kupitia wateja wao wa kazi zao za ufundi nidhamu yake ikambeba nadhani atakuwa na 23 years now

Nitarudi kusema......
 
Unatulingishia au vipi?

Sio kwa ubaya ila mkuu unatupa migogoro ya nafsi sana kama umepata just shut up your mouth unatuumiza tuliokuwa na vigezo ila hatuna hao watu kausha mzee hauna msaada wowote humu .......
Hajasema kwa ubaya ila anachosisitiza ni nidhamu na uvumilivu. kwa wadau wanaohitaji mmbanga kuna kukosa na kupata pia hata uwe na mbanga ..Zinazidiana nguvu.
 
Nyota
 
Hajasema kwa ubaya ila anachosisitiza ni nidhamu na uvumilivu. kwa wadau wanaohitaji mmbanga kuna kukosa na kupata pia hata uwe na mbanga ..Zinazidiana nguvu.
Hakuna kitu huyu anatutambia halafu sio poa wala nini Watu wana makovu ya kukosa majeshi yote hafu yeye anakuja kutulingishia sijui mbuyu nyenyenye .....huoni anaweka na imoj za kucheka
 
Unatulingishia au vipi?

Sio kwa ubaya ila mkuu unatupa migogoro ya nafsi sana kama umepata just shut up your mouth unatuumiza tuliokuwa na vigezo ila hatuna hao watu kausha mzee hauna msaada wowote humu .......
Jamaa wa ikuru hajawai kufeli...weka nidhamu mbele itakusaidia
 
Naona safari hii mambo mazuri, hadi nauli mtarudishiwa. Dalili nzuri hii kwa jeshi letu. Haya tulizoea kuyqona kwa JWTZ. Na wamefanya vizur bora kwenda direct Moshi moja kwq moja sio kuzunguka Dodoma then Moshi
Nahisi ilikuwa wakienda Dodoma wangepakiwa kwa pamoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…