methodinho
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 489
- 549
Daaaah pole sana mkuu ila kila kitu kinawezekana tu mungu ndio kila kitu sema kuna ile kufumba jicho moja afu herufi zinawekwa mbali kidogo....utaje herufiWakuu nahili tatzo langu la macho ,( naona karibu tu, sion ktu cha mbal) vpi nitatoboa kwenye vipimo jw, polisi au magereza?
Ni kweli mkuu wanarudi tenaUZI UMEPOA ILA LINDENI MIILI VIJANA WA KUTAFUTA MBANGA ATAFUTE MWEZI WA TANO JW WANAKUJA KUCHUKUA TENA WATABASE SANA URAIANI WENYE PROFESSIONALS MBALI MBAL MA ENGINEER DOCTOR ITs MADEREVA MAFUNDI.... MUHIMU UWE NA JAKATA TU HAIJALISHI MUJIBU AU KUJITOLEA......ipo confimed hii wakuu sio ronja za kupozana hii ni really
Umbali wa mita ngapi?Daaaah pole sana mkuu ila kila kitu kinawezekana tu mungu ndio kila kitu sema kuna ile kufumba jicho moja afu herufi zinawekwa mbali kidogo....utaje herufi
Sina hakika ni mita ngapi lkn nahisi ni kama umbali wa miguu mitano kama sikosei, kwan mujibu hamkufanya kipimo hikoUmbali wa mita ngapi?
Upo sahihi mkuu yan herud za hatua 5 mbele siwez kusoma na hata mtu akiwa mbele kwa hatua 15 simtambui sura yake, kwahali kam hii napata waswas hata wa kutoboa maana nasikia macho pia wanazngatia japo sina hakikaDaaaah pole sana mkuu ila kila kitu kinawezekana tu mungu ndio kila kitu sema kuna ile kufumba jicho moja afu herufi zinawekwa mbali kidogo....utaje herufi
Sina hakika ni mita ngapi lkn nahisi ni kama umbali wa miguu mitano kama sikosei, kwan mujibu hamkufanya kipimo hiko
Tafuta tiba chief...ww hata gari hutaruhusiwa kuendeshaUpo sahihi mkuu yan herud za hatua 5 mbele siwez kusoma na hata mtu akiwa mbele kwa hatua 15 simtambui sura yake, kwahali kam hii napata waswas hata wa kutoboa maana nasikia macho pia wanazngatia japo sina hakika
Nilienda hosptl niliambiwa tiba ni miwan tu hapoTafuta tiba chief...ww hata gari hutaruhusiwa kuendesha
Huna budi kufata ushauri wa wataalamu huku ukiendeleza maombi na salaNilienda hosptl niliambiwa tiba ni miwan tu hapo
Pole sana mkuu wanapima aiseeeUpo sahihi mkuu yan herud za hatua 5 mbele siwez kusoma na hata mtu akiwa mbele kwa hatua 15 simtambui sura yake, kwahali kam hii napata waswas hata wa kutoboa maana nasikia macho pia wanazngatia japo sina hakika
Duuuh mlipima pressure na damu tu hata tigo hamjapima aseeMm niliingia awamu ya pili tulipimwa damu na presha basiiii
Daaah pole sana mkuu tumia vtu asili kama vtunguu saumu, vtunguu maji, tangawizi, karoti kwa wingiNilienda hosptl niliambiwa tiba ni miwan tu hapo
Vitunguu swaumu Kama atatumia,asizidishe,inssemekana huchoma maini.Daaah pole sana mkuu tumia vtu asili kama vtunguu saumu, vtunguu maji, tangawizi, karoti kwa wingi
Awamu ya pili tulichelewa kama wiki hivi...tuliwakuta wapo uzalendoDuuuh mlipima pressure na damu tu hata tigo hamjapima asee
Ila nasikia unaweza saidiwa na mtu anaeona kijanja akakusomea hzo herufi kuna she wangu alinambiaSina hakika ni mita ngapi lkn nahisi ni kama umbali wa miguu mitano kama sikosei, kwan mujibu hamkufanya kipimo hiko
Igwee!!UZI UMEPOA ILA LINDENI MIILI VIJANA WA KUTAFUTA MBANGA ATAFUTE MWEZI WA TANO JW WANAKUJA KUCHUKUA TENA WATABASE SANA URAIANI WENYE PROFESSIONALS MBALI MBAL MA ENGINEER DOCTOR ITs MADEREVA MAFUNDI.... MUHIMU UWE NA JAKATA TU HAIJALISHI MUJIBU AU KUJITOLEA......ipo confimed hii wakuu sio ronja za kupozana hii ni really
Jamaa zangu wamerud toka TMA Mambo magumuUZI UMEPOA ILA LINDENI MIILI VIJANA WA KUTAFUTA MBANGA ATAFUTE MWEZI WA TANO JW WANAKUJA KUCHUKUA TENA WATABASE SANA URAIANI WENYE PROFESSIONALS MBALI MBAL MA ENGINEER DOCTOR ITs MADEREVA MAFUNDI.... MUHIMU UWE NA JAKATA TU HAIJALISHI MUJIBU AU KUJITOLEA......ipo confimed hii wakuu sio ronja za kupozana hii ni really
Kwamba?Jamaa zangu wamerud toka TMA Mambo magumu
Ukiwa TMA inabid uwe unasali sana maana kila siku watu wanarudi mpaka ichukue nyota si mchezo,ndomana wanaringa sana wenye nyota zao wamezipata kwa tabu sanaJamaa zangu wamerud toka TMA Mambo magumu