becknature
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 665
- 825
Nipagumu kweli bro, shule plus mazoezi inachosha sana,Ukiwa TMA inabid uwe unasali sana maana kila siku watu wanarudi mpaka ichukue nyota si mchezo,ndomana wanaringa sana wenye nyota zao wamezipata kwa tabu sana
Si wamepewa pass tu mkuu,sio kwamba wametimuliwa.Jamaa zangu wamerud toka TMA Mambo magumu
Kuringa hutegemea na mtuUkiwa TMA inabid uwe unasali sana maana kila siku watu wanarudi mpaka ichukue nyota si mchezo,ndomana wanaringa sana wenye nyota zao wamezipata kwa tabu sana
AfyaaKwamba?
Karud since mwez Feb mwanzoni mkuuSi wamepewa pass tu mkuu,sio kwamba wametimuliwa.
Hili ni tatizo la nchi nyingi za Africa mkuu, kuna sehemu niliona hata Kenya nao wanalalamika kuwa kuingia KDF, ni hadi uwe na Connection au utoe kituNi tanzania pekee sehemu ambayo unanunua nafasi kuingia jeshini
Aaah huyo sawa,Maana walioenda TMA mwez wa 12 mwishoni.Wamepewa pass majuzi hapo nikajua ndo kundi hilo yupo.Karud since mwez Feb mwanzoni mkuu
Kumbeh kwenye kozi Kuna pass.Aaah huyo sawa,Maana walioenda TMA mwez wa 12 mwishoni.Wamepewa pass majuzi hapo nikajua ndo kundi hilo yupo.
Yaaaaah kakaKumbeh kwenye kozi Kuna pass.
Hata ya RTS?Yaaaaah kaka
Yaaaaah wanapewa pass wanaletwaga pale bwalo la lugalo mwenge wakiwa ndani ya suti,upara na laki nne zao za kutumbua mjini den mda ukifika wanatakiwa kukusanyika pale mwenge bwaloni kwaajili ya kurudi msata.Hata ya RTS?
Mkuu kumbe posho ya kozi ni 400k.Yaaaaah wanapewa pass wanaletwaga pale bwalo la lugalo mwenge wakiwa ndani ya suti,upara na laki nne zao za kutumbua mjini den mda ukifika wanatakiwa kukusanyika pale mwenge bwaloni kwaajili ya kurudi msata.
Wametoa lini mkuu?Living Pablo ualimu wametoa nafasi elfu 13 ...nikaapply sasa nikafundishe badala ya kushika SMG
Muda si mrefuWametoa lini mkuu?
La wapi?PDF tafadhari
TamisemiLa wapi?
Tusubiri muongozoTamisemi