Hyo umri ni kupinguza tu idadi ya watu maximum ya kuingia Utumishi ni 45 mbona zamani walienda beyond huyu tu jina lilichomolewa akawelwa mingine mbona ni kawaida huko kuambiwa ni mgonjwa huku mzima lohUmri kwanza umeenda ingawa ulikuw ndani ya range yao...pili kama walifanyiwa vipimo vya afya, hususan kuangaliwa kama amezaa au hajazaa basi kuna uwezekano waliona tayar alishazaa...wakamtema
ukosahihi champUmri kwanza umeenda ingawa ulikuw ndani ya range yao...pili kama walifanyiwa vipimo vya afya, hususan kuangaliwa kama amezaa au hajazaa basi kuna uwezekano waliona tayar alishazaa...wakamtema
UT&other security organs ikiwemo MT,JW,PT age mwisho huwa 28-30.Hyo umri ni kupinguza tu idadi ya watu maximum ya kuingia Utumishi ni 45 mbona zamani walienda beyond huyu tu jina lilichomolewa akawelwa mingine mbona ni kawaida huko kuambiwa ni mgonjwa huku mzima loh
Mbona Kuna wanaoenda zaidi ya huo umri huo kwenye kila role Kuna exceptions nyingi tu mbona wapo. Yani uwe na potential kubwa na recommended na inaweza ku add value uachwe kisa umri umezidi moja, au mbili Tena uwe na referee na umeonwa unafaa unachukuliwa tuUT&other security organs ikiwemo MT,JW,PT age mwisho huwa 28-30.
huku UTUMISHI mkuu ndio wanazoa hadi miaka 45
naona unaleta assumptions zaidi,kuliko kanuni na muongozo wa vyombo vya ulinzi.Mbona Kuna wanaoenda zaidi ya huo umri huo kwenye kila role Kuna exceptions nyingi tu mbona wapo. Yani uwe na potential kubwa na recommended na inaweza ku add value uachwe kisa umri umezidi moja, au mbili Tena uwe na referee na umeonwa unafaa unachukuliwa tu
mkuu bogi la PT lilikukosa! doh bila mjomba mnene na kuhonga hivi vyombo tutavisikia redio free africa.JW hawa wa mtaani wanaingia lini?
Mwenye lonja tafadhali.
Coz nimeona Kwa watu baadhi ninao wajua pia mfano case ya majaliwa ya darasa la Saba, mwingine naye la Saba ila alienda jeiwii. So Kuna vitu beyondnaona unaleta assumptions zaidi,kuliko kanuni na muongozo wa vyombo vya ulinzi.
[emoji28][emoji28]mkuu bogi la PT lilikukosa! doh bila mjomba mnene na kuhonga hivi vyombo tutavisikia redio free africa.
PT risevu vp ?[emoji28][emoji28]
PT nilipigwa ndoige mkuu.
Sasa nataka nijipange nje ya uwanja ili nivamie ili bogi la watu waliojitolea wakarudi uraiani.
Nimekosa mkuu..PT risevu vp ?
Nzur hyo mkuu, ungeaplai ile ya magereza 2022, walkua wanahitaji walimu, .Kaka nilikua nataka nikafundishe shule za jeshi kule ..darasani na jeshi ndio mambo napenda
HAkuna tangazo ambalo niliacha kuapply toka ajira zianze kutangazwaNzur hyo mkuu, ungeaplai ile ya magereza 2022, walkua wanahitaji walimu, .
Subiri si bado kuna wale wa kuongezwa wakihitaji watu wengine mwanzon mwa koziNimekosa mkuu..
Nataka tu niingie JW kwa mlango wa nyuma.
Sawa mkuu.Subiri si bado kuna wale wa kuongezwa wakihitaji watu wengine mwanzon mwa kozi
Unapewa Posho tu kila mwezi mshahara had umelize mafunzoHivi ukiwa ccp unapewa mshahara kama kawaida au mpaka umalize kozi
jw wanachukuaga intake mbili kwa mwakaHiv wakuu jwtz kwa mwaka huchukua intake ngap naon polis ni mara moj tu kwa mwaka
Bado hawajaanza kuita,Waliokuwa wanaenda ni wale waliokuwa jkt vikosini na Raia wenye Connection wameenda pia.Hv hawa JWTZ wameshaanza call watu ama bado
Mwenye ronja atupe