cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,077
- 46,549
Hyo umri ni kupinguza tu idadi ya watu maximum ya kuingia Utumishi ni 45 mbona zamani walienda beyond huyu tu jina lilichomolewa akawelwa mingine mbona ni kawaida huko kuambiwa ni mgonjwa huku mzima lohUmri kwanza umeenda ingawa ulikuw ndani ya range yao...pili kama walifanyiwa vipimo vya afya, hususan kuangaliwa kama amezaa au hajazaa basi kuna uwezekano waliona tayar alishazaa...wakamtema