Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Sahihi jamaa alikuw na mbanga Gen ..,.bado mbanga kuomba aka ambiwa kachelewa next time
 
Cp anacheo Cha Major Gen mkuu wa utumishi na ajira MMJ
 
Major Gen mkuu wa utumishi msaidz wake Lt.Col
 
Field force si ni kitengo cha PT mkuu ama? Nikimaanisha nao pia wanatokea CCP. Sasa wewe ulitkiwa kwenda kikosi kipi?

Sent from my STK-L21 using JamiiForums mobile app
 
Kuna wengine huwa hawaweki nguvu nyingi chief...
Ila kama haikupangwa haitafanikiwa..ukilazimisha ukiingia hata kazini changamoto zinakua hazikuishi na utakua unajutia daily
Nanukuu wimbo wa Mwana Fa_Mfalme
"Unapata ulichoandikiwa
Hata kama hukitaki
 
Hakika simdai chochote jamaa wa ikuru kaupiga mwingi saana
TPDF_23
We pambana na jamaa yako wa ikuru tu ila tushakushtukia kitambo sana mkuu ila we hujishtukii bado🤣🤣.......watu washakwambia hujui kitu bora utulie tu....kwani kuna ulazima wa kuandika humu mbna wengine wamekaa kimya....unataka uingize watu mkenge wakitafte uwapige hela trust me hakuna connection inayojitangaza hiv kweupe hakuna
 
Jamaa wa ikuru kaupiga mwingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…