Parokia nishaijua naelewa Hilo Wana Kama watano walitembea wengin walipata unfitIssue ni kumpa mtu connection na haumfahamu in deep
Unapokutana nao kwenye nyumba za ibada ukazoeana nao angalau kwa miezi 3 inakuwa simple kukushika mkono
Kuna Padri mmoja wa Roman Catholic kawaingiza watumikiaji wengi saana vyomboni hasa Tiss
Always huwa nawambia wajuaji hasa huyu afande suma jkt TPDF_23 connection zinajengwa kwa nidhamu sio pesaParokia nishaijua naelewa Hilo Wana Kama watano walitembea wengin walipata unfit
Asilimia kubwa ya mapadre ni usalama.Always huwa nawambia wajuaji hasa huyu afande suma jkt TPDF_23 connection zinajengwa kwa nidhamu sio pesa
Nyumba za ibada zina connection saana kwa Wanangu wa tabora kuna Padri mmoja alikuwa Italia now kaletwa hapo huyu akikushika mkono unaingia chombo chochote cha ulinzi bila wasiwasi alafu yupo simple saana anapenda kucheza na watoto na watumikiaji
Yaaaah kwenye hili mkuu wa majeshi kasimamia ukucha hakuna mujibu aliyeingia salute kwake ananyoosha hapindishi.Msife moyo ndugu zangu mwezi wa nane wanakuja kuchukua kwanzi mtaani adi kwenye vikosi kwanzia form 4 adi form 6 Kikubwa kuweni wapole
Pia kuhus izi nafasi za hawa walio kaa jkt miaka miwili kwa wale mujibu hamna ata mmoja alie chaguliwa wala kwenda kwaiy tuwe wapole tusubiri mwezi wa nane wote
Sasa nyie mmejuaje wakati watu wahajaitwa bado??? [emoji23]Yaaaah kwenye hili mkuu wa majeshi kasimamia ukucha hakuna mujibu aliyeingia salute kwake ananyoosha hapindishi.
Nilikosa kote koteWw jamaa nikajua umezama aise
Majina hawachaguii malaika kaka,Watu wanapiganisha sanaaa ndugu zao mujibu waingie wanaambiwa mkuu hukoh juu kakaza
Yaan binadamu wanakazi sana! Hapo utakuta kuna watu wanafurahi kusikia lonja kama hiyo! Rizik yako si lazima mtu fulani akose ww ndio upate! Sema ngoja tuangalie wasije wakaanza kulalamika tuYaaaah kwenye hili mkuu wa majeshi kasimamia ukucha hakuna mujibu aliyeingia salute kwake ananyoosha hapindishi.
Hahahaha daah kweli sio poaLonja zilizopo, Kuna bogi la makomando lipo 92 linapiga kozi,. Aisee naaimbiwa, wanakula mzigo wa moto, na baadhi ya maaskari wanakimbia kila siku , kurudi vikosini..
Wana kama week moja, Sasa tangu waanze mkesha..
Huyo soldier kweli kudadeki.....na ni kwa sababu anapenda kuwa komando ndio maanaKuna mwanangu, ananiambia Bora afie kozi, ila atoloki..
Unanikumbusha kipindi npo jakata kuna pt mmoja aliendaga komandoo na mwamba mmoja hv anabodi la mazoezi vzr na wengine wawili wembamba.....lkn kilichokuja kutokea baada ya kama week kadhaaa hv wakarudi...yule mwamba mwenye bodi zuri akawa anachechemea, yule pt nae alirudiLonja zilizopo, Kuna bogi la makomando lipo 92 linapiga kozi,. Aisee naaimbiwa, wanakula mzigo wa moto, na baadhi ya maaskari wanakimbia kila siku , kurudi vikosini..
Wana kama week moja, Sasa tangu waanze mkesha..
Wale wembamba wawili wakabaki na mmoja wapo akawa anaongoza mabio.....daaah mpaka walimalizaUnanikumbusha kipindi npo jakata kuna pt mmoja aliendaga komandoo na mwamba mmoja hv anabodi la mazoezi vzr na wengine wawili wembamba.....lkn kilichokuja kutokea baada ya kama week kadhaaa hv wakarudi...yule mwamba mwenye bodi zuri akawa anachechemea, yule pt nae alirudi
Sasa kama PT wa kikosi tu kaona mzigo wa moto akarudi....alafu wanyabi wengine sio PT wala nini na wakatoboa.....yaaani kila kitu kinawezekana....mungu ndio kila kituWale wembamba wawili wakabaki na mmoja wapo akawa anaongoza mabio.....daaah mpaka walimaliza
Hahaha nasikia mzigo wa komando , sio wakaida..Unanikumbusha kipindi npo jakata kuna pt mmoja aliendaga komandoo na mwamba mmoja hv anabodi la mazoezi vzr na wengine wawili wembamba.....lkn kilichokuja kutokea baada ya kama week kadhaaa hv wakarudi...yule mwamba mwenye bodi zuri akawa anachechemea, yule pt nae alirudi
Maramba jkt..sio?.Hahaha nasikia mzigo wa komando , sio wakaida..
Hata mm pale 838kj, Kuna afande alikimbia ukomando, aisee akikupiga banzi , utafurahi
Kweli hizi lonja aisee..Yaaaah kwenye hili mkuu wa majeshi kasimamia ukucha hakuna mujibu aliyeingia salute kwake ananyoosha hapindishi.
Hapa nimeongelea hizi ajira za juzi zilizotangazwa hawajaanza hata kuitwa vikosini mkuu.Kweli hizi lonja aisee..
Maana me najua mbona watu wanaenda tu[emoji28],,,tena bila jakata wala nini.