Mwezi wa nane kuna bogi JW mkuuJw si walishachukua mara mbili...ile usaili wa kwanza vikosini na awa wa maelekezo ya juzu
πππ Nimecheka sana mkuuJamaa wa ikuru anawatakia malalamiko mema
Mujibu kwann asiingie?Watu humu hawapati kazi kwasbb ya kuendelea kuamin mujibu hawez ingia chomboni...pambania uingie chomboni. Mujibu au sio mujibu sio kazi yako. Komaa kutafuta connection yako
Si ndo hapoMujibu kwann asiingie?
Kuna watu hawana cheti chochote na wanazama
CHa muhimu usiwe na pupa tu ...unatakiwa utengeneze channel nzuri kimya kimyaSi ndo hapo
Kwa hio mkuu mwakan polisi hawawez kurud tupe lonja basπPolisi waliomba kuongeza watu ..kwahyo itakua kibali kimetoka na walioongezwa ndio hao
Kama kawaida yake lkn huwa nashangaa nafasi zinakuwa 3K alafu JF nzima anapata mmoja hao wengine ni misukule ?kafanye yake jamaa wa ikulu au sio[emoji23]
Mm ni yangaUnajua maana ya Ebenezer?
Ww jamaa kwa kujipakulia minyama [emoji1425]
Huyu jamaa ana ego sana usimuwekee maanani mwanangu Tai.Huwa naluumu kumbe?
Nasubiri mwezi wa nane ukosekane tenaHuyu jamaa ana ego sana usimuwekee maanani mwanangu Tai.
ππ afu sasa me bado sijawahi kufanya maombi ya majeshi hata moja hata nikitaka kuingia sifanyi application sema tu muda bado kuna mambo yangu nafanya ningekuonyesha kwamba kuingia chmboni sio kazi ngumu....sema nimeshakuelewa na jamaa wako wa ikuru..ππsio ikulu
Tushamsoma kitambo sana mwanetu tunaena nae na anavyotaka yeye........ππHuyu jamaa ana ego sana usimuwekee maanani mwanangu Tai.