Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

WAHUNI TUISHI NA JAMII INAYOTUZUNGUKA KWA AMANI NA UPENDO.. CONNECTION IPO KWENYE JAMII ZETU TENA UTAFANIKIWA BILA KUTOA HELA WALA CHOCHOTE.
ni kweli,vipi wameshaanza kupiga simu au ni ronja tuu hiyo ya 20 may
 
nimekuja kuwasalimu maafande coz kitambo sijaripoti kwenye huu uzi.

usipokuwa na mtu sahihi na connection kali utaulizia sana intake za vyombo hivi lakini hauto ingia mzigoni .

nawapa updates UT lile genge lenye nguvu lipo linahojiwa ngazi za juu kitaifa ,kuhusu biasness and unfair selection.
 
Nimependa hyo Utaulizia sana intake 😀😀😀
 
Sio kwa serikali hii itaishiaa hivyohivyo juu kwa juu....
 
Hao wanaohojiwa washapoteza vibarua vyao wallah
 
Ebana ehh!!! Hivi kuna hata mwana mmoja ambae amefanikiwa kupata UT humu!!! Tuanzie hapa kwanza[emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ebana ehh!!! Hivi kuna hata mwana mmoja ambae amefanikiwa kupata UT humu!!! Tuanzie hapa kwanza[emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
yawezekana wapo mkuu, ila UT na genge lao usahili ule walizidisha sana kujuana aiseeh,kama umefatilia kuna mdada alianzisha uzi humu jf nikaja kuushare hapa aiseeh kifupi wamemuharibia maisha, yaani mwanzoni mwa kozi kaambiwa arudi nyumbani ni unfit, na wamewafanyia washakaji wengi balaa kurejeshwa homu. kitaa kitakuonaje yaani umeaga kwenda depo later on wanakuona mtaaani
 
Heri uende kimya kimya tu sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…