Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Hakuna anayefurahia kazi au mshahara pale utakopo ajiriwa binadamu hatutosheki na wala haturidhiki jua hilo kwanza

Cha pili Wewe ukishajijua umeingia kwenye vyombo vya ulinzi inabidi ukubaliane na hali utakayokutana nayo

Kuishi vizuri au kufurahia kitengo ni ujanja wako tu unaweza usiwe na hizo fani bado jeshi ukalivuna kuliko mwenye fani
 
Sawa,lakini pia muangalie msijejutia maamuzi.
Maamuzi watajutia pale ambapo wataacha kuomba na kuamua kukaa mtaani bila ajira

Waache vijana wajaribu wakipata ni heri mara mia kuliko vibiashara vidogo vidogo kitaa . Watu wanatafuta "job security "

Unajua maana ya job security ? .. uhakika wa mshahara , uhakika wa bima , uhakika wa posho ,uhakika wa kiunua mgongo ,uhakika wa kujiendeleza pasipo kutumia nguvu nyingi
 
Sawaa...
 
Matokeo d bado? Yakitoka lete mrejesho
 
Mzee bahat ipo mzee, jamaa zangu 2 wameingia RUWASA juzi hapa bila connction yyte
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…