Ndege Tai
JF-Expert Member
- May 6, 2020
- 4,439
- 8,184
Yah kweli man makachero wapo kila sehemuKweli hata hao TISS humu wapo wanawachora tu munavopeana maujanja ya kuingia chomboni kiurahisi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yah kweli man makachero wapo kila sehemuKweli hata hao TISS humu wapo wanawachora tu munavopeana maujanja ya kuingia chomboni kiurahisi
HAta wangesema wanataka mainjinia tu ..sisi walimu tusingeacha kuaapply [emoji3][emoji3]
Sawa,lakini pia muangalie msijejutia maamuzi.Waambie vijana watafute connection wasiseme sijui usiombe kama siyo fani fulani wakati ajira zenyewe za majeshi
Ulipouliza jwtz ronja zake zinatoka lini watu walikaa kimya hii inamaana hakuna ajuae zinatoka lini au vpYah kweli man makachero wapo kila sehemu
Sawa,lakini pia muangalie msijejutia maamuzi.
Itakua ni jamaa mwingine kakaUlipouliza jwtz ronja zake zinatoka lini watu walikaa kimya hii inamaana hakuna ajuae zinatoka lini au vp
Sawa,kila la heri kwao...Sehemu unapopapenda ni rahisi kuvumilia chngamoto utakazokutana nazo
Ndo maana bado uko mtaani...majeshi ni maelekezo.HAta wangesema wanataka mainjinia tu ..sisi walimu tusingeacha kuaapply [emoji3][emoji3]
KWeli manNdo maana bado uko mtaani...majeshi ni maelekezo.
Kaka inaonekana JW hupaelewiItakua ni jamaa mwingine kaka
Kaka tutulie ngja ninyamazeKaka inaonekana JW hupaelewi
Code nimeilewaKaka tutulie ngja ninyamaze
Hakuna anayefurahia kazi au mshahara pale utakopo ajiriwa binadamu hatutosheki na wala haturidhiki jua hilo kwanzaNaona mdau kama alivyoandika
“Ndio waombe na connection zao,kisha baada ya kutoka kiwira na kupangwa vituoni kwao WATALETA MREJESHO.....”
Maybe anazungumzia mazingira ya kazi utakayo pangiwa ya hizo kada nyengine ambazo anaamini eidha hazina maslahi au mazingira sio rafiki kupelekea kuto furahia fani yako.
Maamuzi watajutia pale ambapo wataacha kuomba na kuamua kukaa mtaani bila ajiraSawa,lakini pia muangalie msijejutia maamuzi.
Sawaa...Maamuzi watajutia pale ambapo wataacha kuomba na kuamua kukaa mtaani bila ajira
Waache vijana wajaribu wakipata ni heri mara mia kuliko vibiashara vidogo vidogo kitaa . Watu wanatafuta "job security "
Unajua maana ya job security ? .. uhakika wa mshahara , uhakika wa bima , uhakika wa posho ,uhakika wa kiunua mgongo ,uhakika wa kujiendeleza pasipo kutumia nguvu nyingi
Ipo mkuuKutakuwa na Third selection PT au ndio kimya kimya kwasasa PT?
Matokeo d bado? Yakitoka lete mrejeshoKuna jamaa rafiki angu namjua hizi Ajira za walimu na madaktari zimetoka ila yeye ni mwalimu wa geography alafu kwenye tangazo hawahitajiki walimu wa Geography na history, kaniambia amepata connection nzito hivyo amepata na chomboni atakuja kuingia ni suala la Muda tu....na huyo vigezo hana imagine hapo wapo wengi tu design hii,siye tusiye na watu ndio tunaona impossible alafu tunaona kila kitu kinaendeshwa fair kwnye mchakato wa Ajira kumbe tupo wrong.me nayasema haya Sababu sina connection na nimeshuhudia wenye watu wao wametusua kirahisi tu....
Mzee bahat ipo mzee, jamaa zangu 2 wameingia RUWASA juzi hapa bila connction yyteTujaribu kutafuta connection kubwa za uhakika ili tuondoke mtaani,binafsi kama ningekuwa na mbuyu mkubwa ningekuwa nalamba asali ya nchi.nawashauri hivyo pengine kutegemea bahati ni nadra Sana tena Sana kutoboa,me nishategemea Sana bahati miaka nenda miaka Rudi hakuna nilichafanikiwa zaidi kufanya usaili tu.
Wamepitia usahili utumishi au hapo hapo RuwasaMzee bahat ipo mzee, jamaa zangu 2 wameingia RUWASA juzi hapa bila connction yyte