Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Naona mdau kama alivyoandika

“Ndio waombe na connection zao,kisha baada ya kutoka kiwira na kupangwa vituoni kwao WATALETA MREJESHO.....”

Maybe anazungumzia mazingira ya kazi utakayo pangiwa ya hizo kada nyengine ambazo anaamini eidha hazina maslahi au mazingira sio rafiki kupelekea kuto furahia fani yako.
Hakuna anayefurahia kazi au mshahara pale utakopo ajiriwa binadamu hatutosheki na wala haturidhiki jua hilo kwanza

Cha pili Wewe ukishajijua umeingia kwenye vyombo vya ulinzi inabidi ukubaliane na hali utakayokutana nayo

Kuishi vizuri au kufurahia kitengo ni ujanja wako tu unaweza usiwe na hizo fani bado jeshi ukalivuna kuliko mwenye fani
 
Sawa,lakini pia muangalie msijejutia maamuzi.
Maamuzi watajutia pale ambapo wataacha kuomba na kuamua kukaa mtaani bila ajira

Waache vijana wajaribu wakipata ni heri mara mia kuliko vibiashara vidogo vidogo kitaa . Watu wanatafuta "job security "

Unajua maana ya job security ? .. uhakika wa mshahara , uhakika wa bima , uhakika wa posho ,uhakika wa kiunua mgongo ,uhakika wa kujiendeleza pasipo kutumia nguvu nyingi
 
Maamuzi watajutia pale ambapo wataacha kuomba na kuamua kukaa mtaani bila ajira

Waache vijana wajaribu wakipata ni heri mara mia kuliko vibiashara vidogo vidogo kitaa . Watu wanatafuta "job security "

Unajua maana ya job security ? .. uhakika wa mshahara , uhakika wa bima , uhakika wa posho ,uhakika wa kiunua mgongo ,uhakika wa kujiendeleza pasipo kutumia nguvu nyingi
Sawaa...
 
Kuna jamaa rafiki angu namjua hizi Ajira za walimu na madaktari zimetoka ila yeye ni mwalimu wa geography alafu kwenye tangazo hawahitajiki walimu wa Geography na history, kaniambia amepata connection nzito hivyo amepata na chomboni atakuja kuingia ni suala la Muda tu....na huyo vigezo hana imagine hapo wapo wengi tu design hii,siye tusiye na watu ndio tunaona impossible alafu tunaona kila kitu kinaendeshwa fair kwnye mchakato wa Ajira kumbe tupo wrong.me nayasema haya Sababu sina connection na nimeshuhudia wenye watu wao wametusua kirahisi tu....
Matokeo d bado? Yakitoka lete mrejesho
 
Tujaribu kutafuta connection kubwa za uhakika ili tuondoke mtaani,binafsi kama ningekuwa na mbuyu mkubwa ningekuwa nalamba asali ya nchi.nawashauri hivyo pengine kutegemea bahati ni nadra Sana tena Sana kutoboa,me nishategemea Sana bahati miaka nenda miaka Rudi hakuna nilichafanikiwa zaidi kufanya usaili tu.
Mzee bahat ipo mzee, jamaa zangu 2 wameingia RUWASA juzi hapa bila connction yyte
 
Back
Top Bottom