Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Pale CCP niliskia wanaeza chukus intake mbili kwa wakat mmja...ama sio?
Ni ngumu kuwa na intake mbili tofauti zinazofanya kozi moja.. kinachowezekana ni intake mbili za kozi tofauti… mfano askari wapya na Makoplo au Masajenti.
Kwa sasa kuna zaidi ya vijana 3000 wanaosubiri kuanza kozi, so hakuna ulazima (umuhimu) wa kuchukua vijana wengi waanze kozi kabla ya hawa hawajamaliza.
 
Wenye lonja yoyote kama Third Selection ya PT itatoka mwezi Ujao (June) kujaza nafasi za ambao Bado hawajaripoti CCP.....
 
Dah kwaio boss kuingia kwenye chombo saiv tena ni uongo?
 
Wenye lonja yoyote kama Third Selection ya PT itatoka mwezi Ujao (June) kujaza nafasi za ambao Bado hawajaripoti CCP.....
Kwanza PT hawajwahi kuwa na utaratibu huu official wa first au second selection. Kuna mambo yalitokea tu ndo ikabidi itengenezwe second selection.. usiwe na matarajio na third selection kabisa. two weeks to come kozi itaanza so kama una mtu anaweza kukusaidia ukaenda CCP then unaweza ukabahatika ukaingia ila usitarajie kama kutakua na official third selection.
 
Sawa Kiongozi.

Vipi Kuna watu Huwa wanaingia katikati ya kozi inapoanza huko CCP au kwenye kozi za majeshi mengine?
 
CCP hayo mambo yapo. Watu huwa wanaingia katikati ya kozi. Majeshi mengine sina uhakika ila JW ni ngumu kutokana na logistics zao.
Unatakiwa uwe na mbanga cheo gan...ndo atleast ataeza kukupambania uingie mda uuu?
 
Mkuu PT unfit ya macho inazngatiwa sana kama MT?
 
Huko inategemea tu nani yupo nyuma yako.. Kuna mtu anajicho moja la kondoo kuna mwingine anamguu mmoja mfupi mwingine mrefu wapo wanasubiri kozi mkuu
Ok , nasema hvyo kwasabbu kwenye magereza niliwah tolewa kwenye vipimo vya macho mwaka 1 nyuma, nikuwa ninatatzo la kutokuona au kutambua kitu kilichopo mita chache sana mbele,
 
Acha msata washaanza kuna bogi la makao makuu
Kuna bogi lipo MMJ litapiga kozi au nafasi zitatolewa na MMJ badae au ikoje ? Ile ronja ya nafasi za kujiunga na jeshi la wananchi kwa madereva na mafundi mwezi 'May' au 'June' mwaka huu 2023 bado ipo au haina uhakika ? Nieleweshe kaka (kama unafahamu) asante.
 
Jana nimekutana na baka baka mitaa ya kigamboni, zipo mabio, jua kali la saa sita..

Aisee , walikuwa wametweta, na wamachafuka full combat,

Nilitaman nijiunge nao, Kwa moral.

Nahisi wapo kozi
wale ni marine komando nao wapo pale kigamboni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…