Ni ngumu kuwa na intake mbili tofauti zinazofanya kozi moja.. kinachowezekana ni intake mbili za kozi tofauti… mfano askari wapya na Makoplo au Masajenti.Pale CCP niliskia wanaeza chukus intake mbili kwa wakat mmja...ama sio?
Kwa sasa kuna zaidi ya vijana 3000 wanaosubiri kuanza kozi, so hakuna ulazima (umuhimu) wa kuchukua vijana wengi waanze kozi kabla ya hawa hawajamaliza.