Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Sahihi. Ukiachana na wanajeshi waajiriwa wanaoenda Monduli kufanya kozi ya Uafsa jeshini. Kuna wale wanaofanya kozi fupi then wanaenda monduli moja kwa moja mfano Proffesionals (kama Madaktari na Engineers waliopo Monduli hivi sasa).
Umenena vyema kabisa
 
Okay,Nimepata taarifa sahihi sasa iko hiv usaili unaofanyika tarehe 24 may vikosini sio wa monduli point of correction.
Usaili huu vijana watakaopatikana vikosini watakombainiwa na wale watakaochukuliwa wa mtaani nafasi zile zilizotangazwa wale wakujitolea 2yrs.Kuanzia June 1 wataanza kuitwa kwa message kwenda kwenye usaili (Wale waliopo mtaani wakujitolea).By Tarehe 1August kozi itaanza Rasmi katika kambi iliyochaguliwa kwa mafunzo,Naomba kuwasilisha.
 
Ko ni kambi zote za jkt sio
 
Umepita mikononi mwake?? Msabato+ Mjaluo anaroho ngumu sana yule..
Nmepita wakati wake ila yeye alikuwa Alpha Coy me Danger kwa Aloyce(super feo),Sese bhana alikuwa anaheshimu sana sabato ikifika ijumaa saa12 tu hana madhara kimbembe umkute kuanzia jmos saa12 utakula kazi hadi ujute.

Sent from my CPH2159 using JamiiForums mobile app
 
TMA watu walisha pungua nidhamu na afya pia
 
TMA watu walisha pungua nidhamu na afya pia
Eeh!! ***** sio poa..!!

Mpaka nidhamu unashakiliwa kipengele.

Sema kukaa mwaka TMA bila kufanya kosa la kiubanadamu ambalo wapopo watalitafsiri kama la kinidhamu sio poa.
 
Kwanini Mkuu?

Tupe ronja..
Hamna mkuu.

Nasikia upatikanaji wa nafasi zake sio mgumu sana ukilinganisha na vyombo vingine vya usalama..

Yaani connection sio kivile sana kama huku pengine..

Ila pia connection zipo [emoji28].
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…