Himidt Lengo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2018
- 307
- 244
Wengine wanasema hamna usaili hapo ngoma ni moja kwa mojaMT usaili bado haujafanyika na wala hakuna watu wanaofanya usaili. Wapo kwenye hatua za mwisho kabisa za kukamilisha vijana watakaokua shortlisted then waitwe Dodoma, Makao Makuu kwa ajili ya usaili.
Yeah Kama magereza walivyofanya nasikia uhamiaji ,zima Moto na wengine watakuja kasoro polisi nadhani next yearKwani kuna jeshi linalorudi kurecruit tena mwaka huu?
Nahis adi police mwezi wa nane wanakuja mana nakumbuka kuna mkuu mmoja wa mkoa furani aliniambia nisubir mwezi wa nane icho kipindi anacho niambia ivyo nilikua nipo kwenye mchakato wakuende police so nahis adi mwezi wa nane watakujaYeah Kama magereza walivyofanya nasikia uhamiaji ,zima Moto na wengine watakuja kasoro polisi nadhani next year
Sent using Jamii Forums mobile app
usife moyo mkuu, MUNGU yupooHakuna kitu kibaya Kama kusubiria ajira ambazo hujui zitakuja lini
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli asee... watoto wa masikin kwa lonja wako vzr[emoji16]Kwa ndugu zangu waliokua wanauliza uhamiaji wankuja lini tena.
za ndani nikwamba november mwaka huu wnakujaa.
nini kimefanya niache kufukuzia lonja !! ni kwamba watoto wa vigogo wao hawaulizii lonja kama cc ila wanazama chomboni direct, naumia sana jinsi nilivowakosa UT safari ile.but JAH atabless champs
Mkuu UTUMISHI vipi huko?Hasa cc degree holders
[emoji16][emoji16]Kweli asee... watoto wa masikin kwa lonja wako vzr[emoji16]
Na wakati huu ndio pakukomaa mpaka upate ajira.Huu utawala wa maza kupata ajira ni rahis sana na ni ngumu sana...kama unaconnection ni rahis sana faster tu. Ila kama huna connection ni ngumu sana.
Utawala wowote tu..wakati wako ukifika hata kama huna connection utapata tuHuu utawala wa maza kupata ajira ni rahis sana na ni ngumu sana...kama unaconnection ni rahis sana faster tu. Ila kama huna connection ni ngumu sana.
Haina shidaUtawala wowote tu..wakati wako ukifika hata kama huna connection utapata tu