Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

MT usaili bado haujafanyika na wala hakuna watu wanaofanya usaili. Wapo kwenye hatua za mwisho kabisa za kukamilisha vijana watakaokua shortlisted then waitwe Dodoma, Makao Makuu kwa ajili ya usaili.
Wengine wanasema hamna usaili hapo ngoma ni moja kwa moja
 
Yeah Kama magereza walivyofanya nasikia uhamiaji ,zima Moto na wengine watakuja kasoro polisi nadhani next year

Sent using Jamii Forums mobile app
Nahis adi police mwezi wa nane wanakuja mana nakumbuka kuna mkuu mmoja wa mkoa furani aliniambia nisubir mwezi wa nane icho kipindi anacho niambia ivyo nilikua nipo kwenye mchakato wakuende police so nahis adi mwezi wa nane watakuja
 
Kwa ndugu zangu waliokua wanauliza uhamiaji wankuja lini tena.

za ndani nikwamba november mwaka huu wnakujaa.

nini kimefanya niache kufukuzia lonja !! ni kwamba watoto wa vigogo wao hawaulizii lonja kama cc ila wanazama chomboni direct, naumia sana jinsi nilivowakosa UT safari ile.but JAH atabless champs
 
Kweli asee... watoto wa masikin kwa lonja wako vzr[emoji16]
 
Huu utawala wa maza kupata ajira ni rahis sana na ni ngumu sana...kama unaconnection ni rahis sana faster tu. Ila kama huna connection ni ngumu sana.
 
Back
Top Bottom