southernboy
JF-Expert Member
- Sep 27, 2015
- 882
- 1,075
Vp speed ya internetHello makamanda karibuni sana
Nakutengenezea vpn ya TTCL android na iPhone unlimited bundle kuanzia wiki na kuendelea ambapo utaperuzi YouTube, Ticktok ,insta,fb,WhatsApp na kudownload movie
Wiki = 6000
Wiki mbili=11000
Mwezi=14000
0768599839
Mnadhimu mkuu jeshi la ulinzi la wananchi wa Tanzania Luteni Jenerali Salum Haji Othmani ,amewataka askari wapya waliohitimu mafunzo ya awali ya kijeshi katika shule ya mafunzo ya RTS Kihangaiko kutokujihusisha na vikundi vya ushawishi wa vyama vya siasa,matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii ,pamoja na makundi ya kiuhalifu.Katika sherehe ya kuhitimu mafunzo ya awali ya kijeshi katika shule hiyo Luteni Jenerali Salum Haji Othmani ,amesema kwa yeyote atakaebainika kushiriki katika vitendo hivyo ataondolewa jeshini.Kwa upande wake mkuu wa shule hiyo ya mafunzo RTS Kihangaiko Kanali Michael Mayala, amewataka askari hao wapya kwenda kufanya kazi kwa bidii katika maeneo yao ya kazi watakaopangiwa pamoja na kuzitunza afya zao.View attachment 2675055
Sure.Wajuba waje kupoa kidogo na wenye mbanga za kueleweka basi wataendelea walipoishia soon.
Sure.
Focus kubwa ya JWTZ kwa sasa ni sherehe za miaka 60 ya JKT. Nadhani baada ya tarehe 10 Julai, vijana wataanza kuitwa kwenda Depo.
Hivi walianza kozi lini mbona nahisi kama wamewahi kumaliza?Mnadhimu mkuu jeshi la ulinzi la wananchi wa Tanzania Luteni Jenerali Salum Haji Othmani ,amewataka askari wapya waliohitimu mafunzo ya awali ya kijeshi katika shule ya mafunzo ya RTS Kihangaiko kutokujihusisha na vikundi vya ushawishi wa vyama vya siasa,matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii ,pamoja na makundi ya kiuhalifu.Katika sherehe ya kuhitimu mafunzo ya awali ya kijeshi katika shule hiyo Luteni Jenerali Salum Haji Othmani ,amesema kwa yeyote atakaebainika kushiriki katika vitendo hivyo ataondolewa jeshini.Kwa upande wake mkuu wa shule hiyo ya mafunzo RTS Kihangaiko Kanali Michael Mayala, amewataka askari hao wapya kwenda kufanya kazi kwa bidii katika maeneo yao ya kazi watakaopangiwa pamoja na kuzitunza afya zao.View attachment 2675055
Kuna watu wa sayansi humo walienda toka mwaka Jana mwezi wa sita makutupora wakafanya jkt muda mfupi wenye degree wakaenda TMA Hawa wakaungana wa sayansi wa form sixHivi walianza kozi lini mbona nahisi kama wamewahi kumaliza?
Duuh na wale walioanza course tarehe 01/05 hapo Msata ni wepi au kulikuwa na course mbili zinaendelea kwa pamojaKuna watu wa sayansi humo walienda toka mwaka Jana mwezi wa sita makutupora wakafanya jkt muda mfupi wenye degree wakaenda TMA Hawa wakaungana wa sayansi wa form six
ni tofauti hao walitangulia walichukuliwa mujibu wa sheria wa mwakajana kwaajili ya millitary science,wapo wachache tuu kama 300+ hiviDuuh na wale walioanza course tarehe 01/05 hapo Msata ni wepi au kulikuwa na course mbili zinaendelea kwa pamoja
Oohh kwahiyo kulikuwa na course mbili zinapigwa na wale walioanza mwezi wa tano bado wanaendelea na course si ndioni tofauti hao walitangulia walichukuliwa mujibu wa sheria wa mwakajana kwaajili ya millitary science,wapo wachache tuu kama 300+ hivi
Jeshi la polisi Tanzania limetangaza nafasi za kazi, kwa maelekezo zaidi soma[emoji116]
View attachment 1897057View attachment 1897058
yaah ndio hivo,Oohh kwahiyo kulikuwa na course mbili zinapigwa na wale walioanza mwezi wa tano bado wanaendelea na course si ndio
Tatizo kitaa michongo hakuna!! Huko ndo kimbilio pekee kwa watoto wa MaskiniKwa Tz hii tuliyonayo na mfumo wake wa kiutawala kama ulivyo hivi sasa, sioni sababu yoyote ile ya mtu kutaka au kuhamasika na kufikia hatua ya kuomba kazi Jeshi na Polisi au TISS
Sioni sababu hata moja.
YEahKwahyo rts kihangaiko kozi imeish nimeona askari wapya wameapa juzi ijumaa......au ndo wale mujibu wa military science