Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Hivi wakuu TPDF course ya RTS inaendelea ile system ya miezi sita au wamerudisha ile ya miezi minne tena, maana nimesikia intake inayokuja wanaita mwezi wa nane na kwamba sasa hivi course zote ni Msata hakuna Oljoro tena, sasa tayari kuna wale walioanza tarehe 01/05 which means kama ni miezi sita wanaenda kumaliza October mwishoni sasa hawa wanaoitwa mwezi wa nane wanaenda kuanza course lini
 
Naona wataanza kwenye mwezi wa 9 katikati.

Ila mkuu kuhusu kutopiga kozi Oljoro nayo ni issue nyingine..
 
Wataitwa wa nane katikati,Ila kozi inaweza ikaaanza wa tisa hukoh katikati au wa kumi
 
Wataitwa wa nane katikati,Ila kozi inaweza ikaaanza wa tisa hukoh katikati au wa kumi
Course itapigwa kambi gani Mkuu na kama ni Kihangaiko ina maana waliopo huko sasa hivi watapiga miezi minne au
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…