Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nilitoa ushauri humu kua watu wenye fani ya diploma ya dental waende msalato hatakama hawajaitwa,,,,

Maana wale walioitwa wamepata tamisemi na wameenda..

Matokeo yake mkeka umetoka hakuna hata mtu wa dental alieitwa sababu hawakuwepo kwenye usaili..
 
sio kirahis hivo
 
Mkuu Mwagabona nini kinachoendelea huko?

Mwezi wa 8 si ndio huu.
Wakuu mbona ajira za polisi Zanzibar wametoa na degree like education, law , geography , accountancy ,it etc lakin tanzania bara ni diploma tu na certificate na form 4 hii imekaaje
 
To be honest,,we jamaa umepambanaa sanaa ajira za majeshi hizii toka enzi za kina MrGeneous, aisee mungu akupe kilicho bora kwako..
Bora useme wewe mkuu

Ile magufuri kafa tu ajira zinaanza kumwaga 2021 ile huu uzi tumeanza nao....Hakuna jeshi ambalo limetangaza kazi nikaacha kuomba

Sa hv nikisikia ajira yoyote ya jeshi naipitia mbali kama naaga maiti....
 
Uzi ulikuaga wa moto huu...ila nahisi wengi walishachomoka kipindi kilee...
Ndio maana sahv umepoa uzi
 
Back
Top Bottom