Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Ndio maana ukawepo huu uzi ,,tunaelekezana mambo mengi na kupeana uzoefu
 
 
Kuna aliemaliza form 4 mwaka 2016 kaona jina lake??
Kama umemaliza form 4 kwanzia 2015 adi 2017 basi wew jitaidi uwe na mbanga inayo kusimamia Mana nakumbka kunasiku nilikua na RPC wa mkoa frani aliniambia kua ishu ya mtu alie maliza mwaka ambao kweny

Kipengere chao hawajaweka basi wanakua hawachukui hasa kwa form 4 ambao wapo nnje ya kambi ya jkt so apo kama hujaona jina lako usijisumbue sana zaidi tafuta mbanga yako iende ikaombe kwa mkuu wa mkoa au rpc
 
NB:iyo ni upande wa police na magareza sijajua upande wa jw na uhamiaji
 
Anha kumbeh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…