Futadjalon
Member
- Jul 8, 2015
- 15
- 20
Labda anamaanisha wiki ijayo ya tar 21
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda anamaanisha wiki ijayo ya tar 21
Acha wenge si uliambiwa usubir, kuw mvumilivu kam service man
hahahaaAcha wenge si uliambiwa usubir, kuw mvumilivu kam service man
Sawa major general LamentationsAcha wenge si uliambiwa usubir, kuw mvumilivu kam service man
Ndio maana ukawepo huu uzi ,,tunaelekezana mambo mengi na kupeana uzoefuHuyu Sasa ndo anaijua znz...
Tuulizeni sisi tulozaliwa znz na tuna majina ya kibantu...
Hali ni Tete sana
Hata ukihudhuria interviews unaona kabisa hii matoboa siyo theory Wala oral
Ila ngoja surprise ya kupigiwa simu inavyokuwa...
Inshort sisi tunakimbilia kuomba bara
Inashangaza kuona jamaa apo anataka kukimbilia znz hahahahahaha
Off course ni kweli kamanda...Ndio maana ukawepo huu uzi ,,tunaelekezana mambo mengi na kupeana uzoefu
Habarini ....ngoja nitoe nasaha zangu kwa waliokua shortlisted usaili polisi na uhamiaji.
1.Hakikisha kama umeitwa komaa ukapige usaili haijalishi mupo wengi kiasi gani. Na ukifika eneo la tukio jichanganye na wadau upate connection hapo.
2.kwenye wrriten exam mara nyingi maswali wanatoa kulingana na taaluma yako ko usipanic relax mambo ni yaleyale.
3.oral exam jitahid sana uwe na confidence, na unapoitwa jina itikia afandeee,then ingia kwenye room tembea kwa ukakamavu vyeti vyako mkononi,utakuta wamekucholea barabara ifatishe io barabara hadi kwenye box.
4.Hakikisha unabeba vyeti vyako vyote ORIGINAL,LEAVING CERTIFICATE na TRANSCRIPT kama ipo beba.
5.ukifika kwenye box mtizame afande walioko mbele tuu, hawa wa pembeni achana nao kisha kaa mguu sawa salimia JAMBO AFANDE, kisha kaa mguu pande then relax.
6.Nadhan swali la kwanza utaambiwa introduce yourself.,utaeleza kadri ulivoulizwa kama ni kingereza nawewe jibu kingereza, na kama ni kiswahili jibu kiswahili.
7.CONFIDENCE wana asses sana kwahio,hatakama kingereza chako ni cha kuunga wewe unga hivo hivo lakini with confidence.
8.Then ukimaliza zako unashukuru unatoka nje kwa kufuata ile barabara kwahio utageuka nyuma kiukakamavu kwenye lile box then utafata ile barabara hadi unatoka.
9.Jitahid ukitoka ukachukue vyeti vyako vyote nauvikague kabla hujapanda bus kuondoka.
10.usiwe na haraka ya kuondoka,jitahid ujipendekeze kwa mapoti apo uchukue namba sana sana kuanzia nyota1 kwenda juu,ukishindwa basi hata ya askari wa getini wewe chukua namba.
11.hakikisha ukirud home unawasiliana nae mara kwa mara, na ikiwezekana muombe akufanyie mpango jina lipotee hata kwa hela....ANGALIZO: usitoe hela kabla jina halijapita.
12.Na jina likipita kua muaminifu mpe hela kulingana na makubaliano yenu,maana kuna maisha baada ya kutoka depo.
13.Hata kama umeitwa usaili kote komaa upige saili zote ko jitahid uandae hela ya kutosha.
MWISHO:mungu awatangulie kwenye usailih
unafanyia mkoa ganiPT
Usaili utahusisha upande gani
Elimu ya vyeti kwa ulichosomea
Au sote ni maswali ya kizalendo
Maana ni writing?????
@NAJYUZJw kuanzia tarehe 14 mkuu ndo wataanza kuita ikipita kimya hapo ndo tufikirie labda mwez wa tisa hukoh
Tangaunafanyia mkoa gani
Kwani umeshaona jina lako??PT
Usaili utahusisha upande gani
Elimu ya vyeti kwa ulichosomea
Au sote ni maswali ya kizalendo
Maana ni writing?????
Kama umemaliza form 4 kwanzia 2015 adi 2017 basi wew jitaidi uwe na mbanga inayo kusimamia Mana nakumbka kunasiku nilikua na RPC wa mkoa frani aliniambia kua ishu ya mtu alie maliza mwaka ambao kwenyKuna aliemaliza form 4 mwaka 2016 kaona jina lake??
NB:iyo ni upande wa police na magareza sijajua upande wa jw na uhamiajiKama umemaliza form 4 kwanzia 2015 adi 2017 basi wew jitaidi uwe na mbanga inayo kusimamia Mana nakumbka kunasiku nilikua na RPC wa mkoa frani aliniambia kua ishu ya mtu alie maliza mwaka ambao kweny
Kipengere chao hawajaweka basi wanakua hawachukui hasa kwa form 4 ambao wapo nnje ya kambi ya jkt so apo kama hujaona jina lako usijisumbue sana zaidi tafuta mbanga yako iende ikaombe kwa mkuu wa mkoa au rpc
Anha kumbehKama umemaliza form 4 kwanzia 2015 adi 2017 basi wew jitaidi uwe na mbanga inayo kusimamia Mana nakumbka kunasiku nilikua na RPC wa mkoa frani aliniambia kua ishu ya mtu alie maliza mwaka ambao kweny
Kipengere chao hawajaweka basi wanakua hawachukui hasa kwa form 4 ambao wapo nnje ya kambi ya jkt so apo kama hujaona jina lako usijisumbue sana zaidi tafuta mbanga yako iende ikaombe kwa mkuu wa mkoa au rpc