BLACKLIST 12
Senior Member
- Aug 28, 2022
- 128
- 100
Duuh nlijua ukipiga miez 6 unasepa tuu na cheti chako kumbe noma inaendeleaaMpka ukimaliza mkataba
Tunasubiri majibu kiongoziNimetoka kumuliz apa mtu amejibu ivyo ila badae nitampigia cm nitaongea nae vzr thn nitakuja na jibu la uwakika
Nauliza kama umemaliza mwaka huu na cheti hauna ila unayo matokeo si inawezekana ukapokelewa?? JKTbogi la jkt mwaka huu kama vigezo unavyo fanya uzame mazee[emoji91][emoji91]
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Naombeni nisaidie utaratibu unakuwaje mana sielewi kwenye Tangazo wameandika tuende na vyeti tuNauliza kama umemaliza mwaka huu na cheti hauna ila unayo matokeo si inawezekana ukapokelewa?? JKT
Azingatiwe huyubogi la jkt mwaka huu kama vigezo unavyo fanya uzame mazee[emoji91][emoji91]
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Nakazia 🔨bogi la jkt mwaka huu kama vigezo unavyo fanya uzame mazee[emoji91][emoji91]
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
2024 mwaka wa kujiandaa na uchaguzi ...uhakika ni mwingi zaidi.bogi la jkt mwaka huu kama vigezo unavyo fanya uzame mazee[emoji91][emoji91]
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
nnakumbuka mwakawetu tunaingia 2019 tuliambiwa hivihivi2024 mwaka wa kujiandaa na uchaguzi ...uhakika ni mwingi zaidi.
Then ikawaje sheikh tupe experiencennakumbuka mwakawetu tunaingia 2019 tuliambiwa hivihivi
Tunatest mitambo tu kaka ..huo uhakika hamna ,sisi wa mujibu tutulie tunnakumbuka mwakawetu tunaingia 2019 tuliambiwa hivihivi
Jeshi halina formula inayonyooka .. wala halikaririki ..mwanzo ilikua ni kwenda ujenzi ni uhakika kama intake kadhaa ujenzi ikwa deal, lakini sa hivi wajenzi walirudishwa. Ivyo ivyo Zamani kozi ya jkt ilikua ni miezi 6 lkini sa hivi ni miezi Mi 4 tu yani hamtofautiani na mujibu tu. Na pia mkataba ulikua unaongezw hadi mwka mmoja baad ya miaka miwili lakin sasa hivi ni miaka miwili tu mnamwagwa mtajitafute kwenye BBT huko.2024 mwaka wa kujiandaa na uchaguzi ...uhakika ni mwingi zaidi.
Nakazia hapoJeshi halina formula inayonyooka .. wala halikaririki ..mwanzo ilikua ni kwenda ujenzi ni uhakika kama intake kadhaa ujenzi ikwa deal, lakini sa hivi wajenzi walirudishwa. Ivyo ivyo Zamani kozi ya jkt ilikua ni miezi 6 lkini sa hivi ni miezi Mi 4 tu yani hamtofautiani na mujibu tu. Na pia mkataba ulikua unaongezw hadi mwka mmoja baad ya miaka miwili lakin sasa hivi ni miaka miwili tu mnamwagwa mtajitafute kwenye BBT huko.
Angalizo. Nenda JKT kama unaumri mdogo tu ule ambao hujamodify au nenda kama una mtu wa uhakia wa kukubeba vinginevyo usitarajie Miujiza huko
mzee nimekaa jkt kujitolea na wanangu kibao wa mujibu, jamaa mmoja alikua na degree ya industrial eng ,mwngine alikua anavuta bang kinoma watu wakawa wanamdharau walipokuja kujua ni MD wakaanza kumueshim, na mwanangu B alikua mechanical eng ila hajui kutengeneza gari anajua maelekezo tuu[emoji28] sahizi ni polisi, kwahiyo wanangu wa mijibu ombeni muende kwani kule hawakagui mujib wanao rudia kozi ni wengi ila tuu usijioneshe kuwa mjuaji kunavitu unavijua wanakutoa umaarufu jifanye tuu hujui kituTunatest mitambo tu kaka ..huo uhakika hamna ,sisi wa mujibu tutulie tu
nakukumbuka mwanangu, ulinipaga na contacts za sister mmoja hvi yuko UT moro alikua akinipa lonja ya usahili wa UT pale domu, bless up champ endelea kukomaa, pia tuombeaneBack in days.
Huu uzi ulikuwa ni kama faraja yangu ya kutafuta fursa hizi nikiwa na Id yangu ya LYOBA.
Nililiwa kichwa mapema sana kwenye saili za mwezi wa 1 za Polisi.
Nilichanganyikiwa sema pia panicking ilikuwa inafaida kwa muda huo.
Nina kielimu na ni mtaalamu wa Physics since high school though sio mwalimu.
Basi nikapata chaka (Shule) mwezi wa pili hiyo nikawa nalipwa 200k Chakula nakula scul hapo hapo.
Buddy nilikubalika hapo maskuli jina likasambaa sana kwamba ni mtata(wananiita Eisten siku hizi).
Buddy huwez amini kuna shule za watu wenye hela zao wakaja mwez wa 6 wakanichukua , wananilipa 500k bila makato na nakula shule na nyumba nimepewa(Alhamdulillah).
Kwasasa nawaza nifanye vizuri mwakani nimalize nina kimtaji cha kuanzia maisha maana kazi za private hazina dhamana.
Tusikate tamaa wapambanaji, Mwenyezi mungu anamipango mizuri sana na sisi.
Mnijibu wakuuNauliza kama umemaliza mwaka huu na cheti hauna ila unayo matokeo si inawezekana ukapokelewa?? JKT
Unaweza kama kutakua hakuna mwenye cheti au unanguvu ya msukumo.Mnijibu wakuu
sema matokeo mara nyngi inategemeanaga na mkoa unaoombea na idadi ya mnaoomba iwe ndogo ila mkiwa wengi basi wanakunyoa mapema tu kisa huna chetiNauliza kama umemaliza mwaka huu na cheti hauna ila unayo matokeo si inawezekana ukapokelewa?? JKT
Kwanini mkuu naomb mwongozo kidogokuzama JW pagumu sana aise