Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nauliza kama umemaliza mwaka huu na cheti hauna ila unayo matokeo si inawezekana ukapokelewa?? JKT
Naombeni nisaidie utaratibu unakuwaje mana sielewi kwenye Tangazo wameandika tuende na vyeti tu
 
2024 mwaka wa kujiandaa na uchaguzi ...uhakika ni mwingi zaidi.
Jeshi halina formula inayonyooka .. wala halikaririki ..mwanzo ilikua ni kwenda ujenzi ni uhakika kama intake kadhaa ujenzi ikwa deal, lakini sa hivi wajenzi walirudishwa. Ivyo ivyo Zamani kozi ya jkt ilikua ni miezi 6 lkini sa hivi ni miezi Mi 4 tu yani hamtofautiani na mujibu tu. Na pia mkataba ulikua unaongezw hadi mwka mmoja baad ya miaka miwili lakin sasa hivi ni miaka miwili tu mnamwagwa mtajitafute kwenye BBT huko.

Angalizo. Nenda JKT kama unaumri mdogo tu ule ambao hujamodify au nenda kama una mtu wa uhakia wa kukubeba vinginevyo usitarajie Miujiza huko
 
Nakazia hapo
 
Tunatest mitambo tu kaka ..huo uhakika hamna ,sisi wa mujibu tutulie tu
mzee nimekaa jkt kujitolea na wanangu kibao wa mujibu, jamaa mmoja alikua na degree ya industrial eng ,mwngine alikua anavuta bang kinoma watu wakawa wanamdharau walipokuja kujua ni MD wakaanza kumueshim, na mwanangu B alikua mechanical eng ila hajui kutengeneza gari anajua maelekezo tuu[emoji28] sahizi ni polisi, kwahiyo wanangu wa mijibu ombeni muende kwani kule hawakagui mujib wanao rudia kozi ni wengi ila tuu usijioneshe kuwa mjuaji kunavitu unavijua wanakutoa umaarufu jifanye tuu hujui kitu
 
Back in days.
Huu uzi ulikuwa ni kama faraja yangu ya kutafuta fursa hizi nikiwa na Id yangu ya LYOBA.
Nililiwa kichwa mapema sana kwenye saili za mwezi wa 1 za Polisi.

Nilichanganyikiwa sema pia panicking ilikuwa inafaida kwa muda huo.

Nina kielimu na ni mtaalamu wa Physics since high school though sio mwalimu.
Basi nikapata chaka (Shule) mwezi wa pili hiyo nikawa nalipwa 200k Chakula nakula scul hapo hapo.
Buddy nilikubalika hapo maskuli jina likasambaa sana kwamba ni mtata(wananiita Eisten siku hizi).
Buddy huwez amini kuna shule za watu wenye hela zao wakaja mwez wa 6 wakanichukua , wananilipa 500k bila makato na nakula shule na nyumba nimepewa(Alhamdulillah).
Kwasasa nawaza nifanye vizuri mwakani nimalize nina kimtaji cha kuanzia maisha maana kazi za private hazina dhamana.

Tusikate tamaa wapambanaji, Mwenyezi mungu anamipango mizuri sana na sisi.
nakukumbuka mwanangu, ulinipaga na contacts za sister mmoja hvi yuko UT moro alikua akinipa lonja ya usahili wa UT pale domu, bless up champ endelea kukomaa, pia tuombeane
 
Back
Top Bottom