Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Natabiri ukipita huu usaili, usaili wa mwakani watu watakua wengi sana na wengine watatamani hata kuhonga lakini ukweli ni kwamba watakua wamechelewa na kutakua hakuna tena mtu atakeyewaponda vijana wanaoenda kujitolea nawaza tu kwa sauti wachache sana tuko pamoja apa hasa wale wanaoenda magereza na tanapa😂😂😂
 
Hii code imenishinda kufungua kwasababu ya uwepo wa baadhi ya vipengele
 
Hakikisha unajiunga kwenye orodha JKT huuu mwaka zikija fursa hakika zinakukuta kambini
Unapita hivi
Usiogope hata kam upo ukingoni 26
 
Hakikisha unajiunga kwenye orodha JKT huuu mwaka zikija fursa hakika zinakukuta kambini
Unapita hivi
Usiogope hata kam upo ukingoni 26
Mimi nawaza leaving certificates zote shule nilikosoma wanasema mwaka wetu hamna Kuna barua za utambulisho sijui kama watakubali hicho tu ndo nwaza sipati majibu
 
Na kisema umri usizid miaka 22 mwenye 23 kwenda juu ndo hachukuliwi au hata mwezi 22 na miezi minne
 
Nchi Ngumu hii Nasikia Jwtz nafasi zimetoka za chinichini mwisho tareh 9, wale watoto wa watu wazito ndo nafasi zao izo 😥
 
Inaomekana kama hii kazi ni ya majitu yaliyofeli shule wanaamini div 4 kazi ya kushika bunduki inamfaa sana
Acha dharau we mjinga, watu unaowatukana ndio wanaokulindia nchi mpaka unapata kiburi cha kuandika takataka hii.

Jaribuni kutembelea mipakan huko haswa karibu na nchi zisizo na amani , utalishukuru jeshi letu.

Wenzenu hawalali nyie vilaza wachache mnaleta dharau.

Haya wew na akili zako gundua ndege sasa wasio na akili wapande.

Ungekuwa karibu ningekupa adabu
 
Mimi nawaza leaving certificates zote shule nilikosoma wanasema mwaka wetu hamna Kuna barua za utambulisho sijui kama watakubali hicho tu ndo nwaza sipati majibu
Nenda na passport waambie wakuandikie barua ya utambulisho utaiambatanisha na hiyo passport yako, wakumbuke na kugonga muhuri wa shule& saini ya mkuu wa shule, ,fanya haraka wenzako wanabebwa muda hauwasubiri
 
Nchi Ngumu hii Nasikia Jwtz nafasi zimetoka za chinichini mwisho tareh 9, wale watoto wa watu wazito ndo nafasi zao izo [emoji26]
Zikipita week3 kutoka sasa na hujapokea ujumbe wala call ya kukuita change mawazo anza kuwekeza akili ktk biashara na shughuli zingine ukuze kipato chako[emoji23].

Hizi mambo bila mkono mrefu au bahati hutoboi
 
Back
Top Bottom