MOSHI UFUNDI
JF-Expert Member
- Nov 25, 2022
- 526
- 1,222
Tupo pamoja sana.nakukumbuka mwanangu, ulinipaga na contacts za sister mmoja hvi yuko UT moro alikua akinipa lonja ya usahili wa UT pale domu, bless up champ endelea kukomaa, pia tuombeane
Kwangu mimi mkuu..sio kwa watu woteKwanini mkuu naomb mwongozo kidogo
mimi nawasubiri PT waje tena.
vijana lonja zmewachosha maana zmeanza kutoka tangia mwez wa 3 sjui huko mpaka leo.... koo wanapita tu juu juuVijana wameenda JKT nn mbona uzi umepoa[emoji16][emoji23]
Vijana wameenda JKT nn mbona uzi umepoa
Ndio maana watu wameususia uziHamna kozi oljoro.
Si walisema sasa hivi kozi zote ni Kihangaiko hakuna kozi Oljoro tena au
tunasubiori mwakani najua majeshi yote yatakujaaUle mchakato wa PT umeishia wap tena kimya kimetanda
Unamaanisha hata Jw kwa mwaka huu tena Ndio hamna liwalo?tunasubiori mwakani najua majeshi yote yatakujaa
Na VP nasikia Sasa hivi Tena Kuna usahili unaendelea mtaani wa jkt ?? Ni kweli?Unamaanisha hata Jw kwa mwaka huu tena Ndio hamna liwalo?
Sifahamu chief..Unamaanisha hata Jw kwa mwaka huu tena Ndio hamna liwalo?