MOSHI UFUNDI
JF-Expert Member
- Nov 25, 2022
- 526
- 1,222
Tupo pamoja sana.nakukumbuka mwanangu, ulinipaga na contacts za sister mmoja hvi yuko UT moro alikua akinipa lonja ya usahili wa UT pale domu, bless up champ endelea kukomaa, pia tuombeane
Kikubwa tusikate tamaa masiku mazuri yanakuja.