BALENSIAGA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2019
- 3,353
- 5,800
Kuhama kunaweza kukawa na sabb mbalimbali ikiwemo aina ya kazi imekaa ya Kinoko sanaMbona ndio taasisi ambayo watu wanaongoza kwa kuhama mpaka serikali ikaweka restrictions ya miaka 5 kwenye taasisi yao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo Taasisi inahitaji watu wenye hekimaKuhama kunaweza kukawa na sabb mbalimbali ikiwemo aina ya kazi imekaa ya Kinoko sana
Wakinipa hicho kitengo ndani ya miaka kadhaa ntapewa nisimamie mkoa kabisaMbona ndio taasisi ambayo watu wanaongoza kwa kuhama mpaka serikali ikaweka restrictions ya miaka 5 kwenye taasisi yao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee unauweza unoko?[emoji28]Wakinipa hicho kitengo ndani ya miaka kadhaa ntapewa nisimamie mkoa kabisa
hekima itatangulia chief
Hongera sana mkuu kwa kulijua hilo.hekima itatangulia chief
Ukijifanya mjuaji unapotezwaHongera sana mkuu kwa kulijua hilo.
Hii kazi ina changamoto kubwa sana kwasababu mazingira yake ya kazi ni magumu mno.
At least ukiwa na hekima mambo yanaweza kua sawa kiasi.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23][emoji23]asee inaonekana polisi wengi watakufa kwenye uchaguzi
Tunajaribu tena sasaKazi kwenu vijanaView attachment 2777134
Hahaha fala sana😂asee inaonekana polisi wengi watakufa kwenye uchaguzi
Hahah usikate tamaa kakaNikikumbuka Usaili Wa Mkoani [emoji23][emoji23]
MZee jaribu tena ..hupaswi kukata tamaa mapema hiviiiNikikumbuka Usaili Wa Mkoani [emoji23][emoji23]
Dystonia7 kaka umekua kimya sanaKazi kwenu vijanaView attachment 2777134
Nendeni mkapambanie kombe vijana Wenzangu Ila mkitukuta barabarani tunawaekea koti la mtpdf kwenye kiti Cha dereva mtaanza kusalimia aaah vipi kiongozi haina shida pita bana njia yako hii[emoji16] natania wakuu[emoji16][emoji16]Kazi kwenu vijanaView attachment 2777134
Ebu naomben kujua nikitoka fom sx, ama chuo kwa ngazi ya shahada..... Na kujiunga na jeshi la police baada ya kufuzu mafunzo ya kijeshi nitakuwa afisa wa jeshi ? Anaejua pulizii!!!!Hongera sana mkuu kwa kulijua hilo.
Hii kazi ina changamoto kubwa sana kwasababu mazingira yake ya kazi ni magumu mno.
At least ukiwa na hekima mambo yanaweza kua sawa kiasi.
Sent using Jamii Forums mobile app