Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Hongera sana mkuu kwa kulijua hilo.

Hii kazi ina changamoto kubwa sana kwasababu mazingira yake ya kazi ni magumu mno.

At least ukiwa na hekima mambo yanaweza kua sawa kiasi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ebu naomben kujua nikitoka fom sx, ama chuo kwa ngazi ya shahada..... Na kujiunga na jeshi la police baada ya kufuzu mafunzo ya kijeshi nitakuwa afisa wa jeshi ? Anaejua pulizii!!!!
 
Back
Top Bottom