BALENSIAGA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2019
- 3,353
- 5,800
Kuhama kunaweza kukawa na sabb mbalimbali ikiwemo aina ya kazi imekaa ya Kinoko sanaMbona ndio taasisi ambayo watu wanaongoza kwa kuhama mpaka serikali ikaweka restrictions ya miaka 5 kwenye taasisi yao.
Sent using Jamii Forums mobile app