Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usaili unachukuaga mda gani
Mkuu kwa mwaka huu sina lonja za military science mara ya mwisho kusikia lonja zao ilikuwa mwaka jana december ndio walianza course, kwahiyo ni either watakuwa washamaliza au wanaelekea kumaliza maana course huwa ni miezi tisa hadi mwaka so sidhani kama wameanza kuita wengine, jaribu kufuatilia hata youtube kama kuna video yoyote ya maafisa wapya walioapishwa mwaka huu ulinzi channel huwa wanapost kila mwaka na kama hawajapost basi itakuwa badoNAJYUZ Jadda Zafrain sag @ Ndege Tai mwenye lonja ya military science mujibu wa mwaka huu anisanue wakuu nini kinaendelea.
Military science course miezi 9 ??? Au unachanganya na wale regular?Mkuu kwa mwaka huu sina lonja za military science mara ya mwisho kusikia lonja zao ilikuwa mwaka jana december ndio walianza course, kwahiyo ni either watakuwa washamaliza au wanaelekea kumaliza maana course huwa ni miezi tisa hadi mwaka so sidhani kama wameanza kuita wengine, jaribu kufuatilia hata youtube kama kuna video yoyote ya maafisa wapya walioapishwa mwaka huu ulinzi channel huwa wanapost kila mwaka na kama hawajapost basi itakuwa bado
Kabla hawajaanza kusoma Degree ya military science....huwa wanapiga kozi kwanza sasa sijajua huwa inachukua muda ganMilitary science course miezi 9 ??? Au unachanganya na wale regular?
RTS Kwanzaa, then Monduli miaka mitatu.Kabla hawajaanza kusoma Degree ya military science....huwa wanapiga kozi kwanza sasa sijajua huwa inachukua muda gan
Six(6) Months RTS, then Three(3) Years Monduli(Military Science)...hii ni kwa sasa, lakn miaka ya nyuma hatukua na military science hapa nchini so waliokua wanachaguliwa kutoka mujibu(form six) walienda RTS Kwanzaa then Monduli(course ilichukua miezi tisa mpaka mwaka mmoja).Military science course miezi 9 ??? Au unachanganya na wale regular?
No military science ni miaka mitatu mkuu ila hiyo regular course ndio miezi tisa hadi mwaka, point yangu ilikuwa kumuelezea jamaa kwamba kila mwaka kuna intake ya officer cadets wapya wakiwemo hao military science pamoja na regular, kwahiyo ajaribu kufuatilia intake iliyopita kama kuna waliomaliza hiyo course au bado ili ajue intake nyingine inaingia liniMilitary science course miezi 9 ??? Au unachanganya na wale regular?
Mkuu sipo aware na military science kua kozi ni lini.NAJYUZ Jadda Zafrain sag @ Ndege Tai mwenye lonja ya military science mujibu wa mwaka huu anisanue wakuu nini kinaendelea.
Ndio wakati wenyewe huu mkuu.Mkuu mbona kama Kuna jambo unalifahamu hivi, "tamka neno mkuu", (kwa sauti ya maafande) [emoji16][emoji16]
Mkubwa vipi na TMA Monduli mahafali liniRTS kihangaiko mwez ujao wazalendo wanaingia | try 28 mwez huu mahafali ya Askari wapya jwtz
Kwamba majina ya usaili yametoka au unamaanisha niniPolisi mambo tayar ukoooo 🔥
Wajiandae na usaili
vipi mkuu wameongeza idadi ama?Polisi mambo tayar ukoooo 🔥
Wajiandae na usaili
jamaa katuacha solembaaKwani majina ya usaili yametoka?