Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Oyaa! Kuna wakati huwa nafikiria Mungu anaupendeleo kwa baadhi ya wanadamu. Sisi watoto wa mafukara, mifumo haitujui japo tuna uwezo mkubwa tu.
kaka nakuambia hivi sio kwamba nina maisha mazuri au nimeshafanikiwa sana HAPANA...
ila muda wako ukifika umefika tu haijalishi chochote kile wala maisha yako ya awali ilikuaje...
MAFANIKIO yanahitaji uvumilivu(tolerance) na ustahimilivu (perseverence)
TATIZO linakuja Sasa tuishije kwenye maisha haya yenye changamoto nyingi na yenye kukatisha tamaa
 
Tujipe...moyo
..
 
Tupe moyo sema chochote kiongozi
Jeshini kuna 'as were' nyingi.

Hizi lonja tunazo share humu huwa tunapenyezewa na watu wa humo kwenye hizo taasisi.

Sasa unaweza kupewa info's kumbe imepigwa 'as were' tayari na wewe tayari utakua umesha share humu na wadau.

Ila lonja iliyopo ni kua wale watu(JWTZ) soon wanakuja,ila ndio haijulikani ni lini..ila waliokuwepo kwenye taasisi wenyewe wanakuambia SOON.
 
Juzi wakati wa usahili wa Polisi kuna Koplo mmoja wa JW alisema wao watakuja december tena kuchukua watu wengi tu. Ila sasa ni mtu wa story nyingi sana kwahiyo sijui kama ni kweli au la.
 
Upo sahihi kabisa kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…