Uhakiki
JF-Expert Member
- May 18, 2017
- 7,288
- 7,704
Maumivu kila kiungo, ndoige za kutosha man! Sio poa!Ukimya umetawala humu ndani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maumivu kila kiungo, ndoige za kutosha man! Sio poa!Ukimya umetawala humu ndani
kaka nakuambia hivi sio kwamba nina maisha mazuri au nimeshafanikiwa sana HAPANA...Oyaa! Kuna wakati huwa nafikiria Mungu anaupendeleo kwa baadhi ya wanadamu. Sisi watoto wa mafukara, mifumo haitujui japo tuna uwezo mkubwa tu.
sasa mimi mkuu wa wilaya nampata wapi kaka??HAPO NATANIA TU MKUUAfadhali wewe, unaweza kuinteract hata na hao mkuu. Sisi wengine kukutana na huyo mkuu wa wilaya ni mpaka itokee sherehe ya mwenge ndio anaonekana mtaani kwetu. Sema roho inauma sana kuwa mnyonge kiasi hiki.
..kaka nakuambia hivi sio kwamba nina maisha mazuri au nimeshafanikiwa sana HAPANA...
ila muda wako ukifika umefika tu haijalishi chochote kile wala maisha yako ya awali ilikuaje...
MAFANIKIO yanahitaji uvumilivu(tolerance) na ustahimilivu (perseverence)
TATIZO linakuja Sasa tuishije kwenye maisha haya yenye changamoto nyingi na yenye kukatisha tamaa
Tupe moyo sema chochote kiongozi
Jeshini kuna 'as were' nyingi.Tupe moyo sema chochote kiongozi
Juzi wakati wa usahili wa Polisi kuna Koplo mmoja wa JW alisema wao watakuja december tena kuchukua watu wengi tu. Ila sasa ni mtu wa story nyingi sana kwahiyo sijui kama ni kweli au la.Jeshini kuna 'as were' nyingi.
Hizi lonja tunazo share humu huwa tunapenyezewa na watu wa humo kwenye hizo taasisi.
Sasa unaweza kupewa info's kumbe imepigwa 'as were' tayari na wewe tayari utakua umesha share humu na wadau.
Ila lonja iliyopo ni kua wale watu(JWTZ) soon wanakuja,ila ndio haijulikani ni lini..ila waliokuwepo kwenye taasisi wenyewe wanakuambia SOON.
[emoji23][emoji23][emoji23]na mimi pia demu wangu amechaguliwa this year, ka postpone chuo kaenda Moshi huko.Ex wangu kaula mwezi ulio pita saiv ni askari wa Migration yule mbwa aachi kunipiga madongo [emoji856].
[emoji23][emoji23][emoji23]eti hii nchi haina usiriaz hivoHii nchi haijafikia userious wa hivyo wewe.. huko utakuta watu wa F4 2005
Kazi ya polisi ni ya vilaza tu, wenye akili endeleeni kula msoto.Si ndo hapo sasa man, sijaelewa mantiki yake hapa? Kwamba hawataki vijana wenye ufaulu wa juu huko polisi ama
Niliskia watachukua wengi sanaJuzi wakati wa usahili wa Polisi kuna Koplo mmoja wa JW alisema wao watakuja december tena kuchukua watu wengi tu. Ila sasa ni mtu wa story nyingi sana kwahiyo sijui kama ni kweli au la.
Bado sijapata lonja wakuu ya siku kabisa,Nikipata nitarudi kuwajulisha.
Upo sahihi kabisa kakaJeshini kuna 'as were' nyingi.
Hizi lonja tunazo share humu huwa tunapenyezewa na watu wa humo kwenye hizo taasisi.
Sasa unaweza kupewa info's kumbe imepigwa 'as were' tayari na wewe tayari utakua umesha share humu na wadau.
Ila lonja iliyopo ni kua wale watu(JWTZ) soon wanakuja,ila ndio haijulikani ni lini..ila waliokuwepo kwenye taasisi wenyewe wanakuambia SOON.
Poa mkuu..ukipata lonja tu share pamoja humu.Bado sijapata lonja wakuu ya siku kabisa,Nikipata nitarudi kuwajulisha.
3000+Hiv Hawa polisi watachukua watu wangap au mambo Yale yale au ni zile 2000
Ni ronja ama kuna ukweli ndan yake3000+