Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Usaili kwa wote ulianzia tareh 31 na kuisha tarehe 5. Kote Tanzania nikwamba mda bado haujafika,kama mda ukifika watatoa majina.maana nakumbuka raundi hii iliyopita walikaa siku ishirini na tisa ndio majina yakatoka,raundi hii hata wiki tatu bado hazijaisha ni kwamba mda wao bado

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Wale wa Jw millitary science wanamaliza usahili juma4 ya wiki ijayo,so any time
Kwaiyo baada ya hapo kituo kinachofata ni kihangaiko au sio na umri mwisho kupiga millitary science ni miaka mingapi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…