Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Umeongea maneno ya faraja sana japokuwa tushavurugwa akili,mwil na roho.Mm nnimeomba tangu tangazo 18/08/2021had hiz, jina linaishiaga usaili wa barrack, mkeka ukitoka hola.Acha nikawe mvuvi na degree yangu!!!!!!
 
Miezi 12? Dooh ni hatari
Miezi 12 utaona ni mingi ila Kwa mtu anayeenda kufanya usaili lazma ajue hili. Ni heri kupoteza mwaka mmoja Kwa kupata msosi, Hela ya kujikimu (100k), pa kulala Bure kuliko kukaa mtaani Bure bila kazi yyote.

Kumbuka baada ya shida hizi na huduma zote kupewa Bure, baada ya miezi 12 unaingia kwenye payroll ya serikali. So kama chance Ipo jitume tuu Utapata ajira kuliko kukaa mtaani kupoteza muda.
 
Yeye anashangaa hivyo wakati Kuna jamaa angu alikua na degree kabisa ikabidi aachane na hiyo degree akapiga tena degree nyingine ya kijeshi yaani military science aliingia mwaka Jana kupitia cheti Cha form six yupo first year saivi monduli
 
Kuna mtu nilishangaa alikuwa analipwa mshahara Wa zaidi ya 800k kama take home lakini alivyopata chance ya kwenda CCP (degree) hakujiuliza mara mbili aliacha kazi akaemda kupiga kozi ya miezi 12.
Kila mtu ana malengo yake ktk maisha so tubaki kuangalia tu na kutokukata tamaa maishani. Sisi tuendelee kupambana kitaa fursa zipo tupambane tu
 
Naam upo sawa
 
Alifanya uamuzi sahihi sana
 
Nimeuliza sababu nilikua nadhani ni miezi 6/9
 
Hii nchi bila connection hutoboi
Lolote lawezekana chifu,nishawahi kupata kazi ya kibarua ilikua inataka mtu mwenye uzoefu ila nilipata na sikua na uzoefu wowote ule na wengine wenye uzoefu walikosa
....Wakati sahihi ukifika hata ukiwa hauna connection unatoboa tu
NB;kusema hivi hakumaanishi tusitafute connection
 
Jeshi la Wananchi limeongopea Wananchi wake juu ajira walizotangaza.[emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…