MG 18 kidon
Member
- Oct 31, 2021
- 7
- 9
Umeongea maneno ya faraja sana japokuwa tushavurugwa akili,mwil na roho.Mm nnimeomba tangu tangazo 18/08/2021had hiz, jina linaishiaga usaili wa barrack, mkeka ukitoka hola.Acha nikawe mvuvi na degree yangu!!!!!!Degree walikuwa more than 1,000 kwenye usaili ila wamechukua 57 tu pekee.
I hope Kuna simu zitaita Kwa ambao hawajapata nafasi kwasasa (second selection kama mwaka Huu April & May 2023 walienda intake 2) Ili kukava nafasi za wale ambao hawatoripoti CCP au kukosa vigezo au afya etc.
Makamanda msikate Tamaa, Mungu yupo upande Wa wote wenye udhubutu.