Umeingilia six au sjajua kwa polisi nyota ina thamani ya elimu gani lakini ingekuwa jwtz kupata nyota lazima uwe na degreeAsante mkuu sorry mtu maybe kaingia akiwa amen drop chuo mwaka wa mwisho akimaliza koz kazini anawez kukaa muda Gani aweze kusomea nyota
Unauliza swali lile lile..umedrop chuo wewe ni form 6. Elimu yako ndio itakupeleka course haraka mzee au kukaa kazini muda mrefu kama elimu yako ni ndogo.Asante mkuu sorry mtu maybe kaingia akiwa amen drop chuo mwaka wa mwisho akimaliza koz kazini anawez kukaa muda Gani aweze kusomea nyota
Sorry mkuu sikumalizia nilikuwa na kimeo nafanya .... nimekupata lengo nauliza kazini unatakiwa ukae mwaka baada ya ajira au muda huwa uko vipi mtu ukitaka kwenda kumaliza chuo ulibakisha muda mchache kuhitimu dhumuni la swali langu kujua kama muda maalum baada ya ajiraUnauliza swali lile lile..umedrop chuo wewe ni form 6. Elimu yako ndio itakupeleka course haraka mzee au kukaa kazini muda mrefu kama elimu yako ni ndogo.
Nitaongelea kwa upande wa vyombo vya ulinzi specific JW wenyewe apart na kupewa movement order ya kwenda likizo,Ukitoka nje ya nchi bila ruhusa kutoka makao makuu ni kosa kisheria.So ukitaka kwenda nje ni lazima upate kibali kutoka makao makuu.Hivi wakuu hawa watumishi wa vyombo vya ulinzi na usalama, huwa wanaruhusiwa kusafiri nje ya nchi kwa matembezi binafsi wakiwa katika likizo, au ndio ukishaingia humo vyomboni sahau masuala ya kuvuka border kwa minajili ya kutembea tu
Military science bado hawajaanza kozi,Kule monduli kuna intake moja wanaopiga kozi ya Regular(Mwaka mmoja).southernboy Sijakuelewa mkuu hiyo tarehe ni Millitary science au kundi la 43 na hiyo tarehe ndo wanaanza kuripoti au ndo kozi inaanza.
Baada ya miaka mitatu,Ila polisi kuna kubaniana kwenda kusoma kuna kuzungushwa so kusoma ukiingia polisi inatakuwa uwe na mtu wa kukusaidia ili uende kusoma kwa wakati.Though kaniambia unaweza kwenda kusoma kimya kimya ukitoka depo so sijajua kivipi!!!Sorry mkuu sikumalizia nilikuwa na kimeo nafanya .... nimekupata lengo nauliza kazini unatakiwa ukae mwaka baada ya ajira au muda huwa uko vipi mtu ukitaka kwenda kumaliza chuo ulibakisha muda mchache kuhitimu dhumuni la swali langu kujua kama muda maalum baada ya ajira
Absolutely... Sijajua ishu ya kuwekewa muhuri kikosi cha jirani ulipofikia kama ipo activeNitaongelea kwa upande wa vyombo vya ulinzi specific JW wenyewe apart na kupewa movement order ya kwenda likizo,Ukitoka nje ya nchi bila ruhusa kutoka makao makuu ni kosa kisheria.So ukitaka kwenda nje ni lazima upate kibali kutoka makao makuu.
Tupo tuliotuma maombi ya forest gurd mwezi wa 8 mpaka leo kimya upande wa mwanza tfs na Dodoma na kibaha sector ya mali asili ni changamoto kuita watu usahili inaenda miezi minne na bado kimyaWakuu kuna mtu kafanya usahilii wa forest quard humu
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
unaweza ukapata likizo ukaandika mkoa unao enda but ukasafir kimya kimya kwenda huko dubai[emoji23] ila inabidi usipate tatizo lolote. maana hata kwenye movement older ukiandika Mtwara halafu ikatokea umepata ajali ukiwa Mwanza ni kesi nyingine tenaOohh okay sawa, na vipi upewaji wa hivyo vibali ni mrahisi, au hadi waamue wao muda wa wewe kusafiri
Hata polisi pia kuna movement order.Nitaongelea kwa upande wa vyombo vya ulinzi specific JW wenyewe apart na kupewa movement order ya kwenda likizo,Ukitoka nje ya nchi bila ruhusa kutoka makao makuu ni kosa kisheria.So ukitaka kwenda nje ni lazima upate kibali kutoka makao makuu.
Hapo shukrani San mkuu wangu nimekupataBaada ya miaka mitatu,Ila polisi kuna kubaniana kwenda kusoma kuna kuzungushwa so kusoma ukiingia polisi inatakuwa uwe na mtu wa kukusaidia ili uende kusoma kwa wakati.Though kaniambia unaweza kwenda kusoma kimya kimya ukitoka depo so sijajua kivipi!!!
NdiyoHata polisi pia kuna movement order.
Vijana kesho Wana Anza report CCP .... magereza kimya nao wale jamaa sijui wamemaliz kozimigration nao soon tu
na millitary science wanaenda kuripoti kesho msataVijana kesho Wana Anza report CCP .... magereza kimya nao wale jamaa sijui wamemaliz kozi
Duh kwaiyo kozi inaweza funguliwa lini mkuu.na millitary science wanaenda kuripoti kesho msata