Bmb bls
Member
- Jan 19, 2023
- 76
- 44
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uliomba nafasi gani bro! Kama ni guard jiandae na Mbio, Squat, Push up, na kuroll. Tulifanya za Iringa kule walileta uhuni sana vijana wao waliokuwa wanajitolea walituchana live tunapoteza muda tu. Tuliamini baada ya kuona majina ya kwenda oral kuna watu hawakuwepo kabisa kwenye usahii wa vitendo ila tukawa nao kule. Japo kuna kuwa na mtu mmoja wa kutoka Secretaiet ya ajira kuona mchakato lakini bado hakuna kitu atafanya.
Tumia appView attachment 2831726wakuu pm yangu inaleta hivo halifunguki kwa anaejua shida nn msaada
Ndo natumia KakaTumia app
Kiaje?????Tunaomba mwenye tangazo la uhamiaji
Nikipata za ndani nitakuja kuleta mrejesho mkuu.
Tangazo la kazi la uhamiajiKiaje?????
Umeona wapi???Tangazo la kazi la uhamiaji
Umeliandika wewe chief 😁Tunaomba mwenye tangazo la uhamiaji
Hakika mkuuu Mungu awatangulie wamalize salamaaa waki report baada huakiki mbilinge kozi rasmi inaweza kuwa baada ya muda ganiKila la kheri vijana mliochaguliwa kuingia Polisi. Uadilifu na kufata sheria za mafunzo ni muhimu. Nimefarijika kuona watu waliopambana humu kwa miaka kadhaa hatimaye wamepata nafasi. All the best.
Mafunzo ya awali course sio chini ya mwakaHakika mkuuu Mungu awatangulie wamalize salamaaa waki report baada huakiki mbilinge kozi rasmi inaweza kuwa baada ya muda gani
Kajaziwe hiyo hiyo ya ZTWakuu nimeenda dispensary flan ya serikali...nataka kujaziwa medical form kwaajili ya ZT...docta anasema natakiwa fomu iliowekwa kwenye attachment ya tangazo la kazi ila kwenye tangazo sioni
Ila nimepita kwenye web nimekuta pdf ya medical form ya fire machakani tu uko...itafaa nikiattach io
Shukran sana mkuu.50 hadi 80 vyumba vizuri sana unapata