Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Naona huu uzi ushaingiliwa warzone kwa namna moja au nyingine amefanya kosa moja kubwa la kimkakati kwa kujua au kutokujua.Tuwe makini kuna watu kwenye huu uzi wameshakuja kwa kazi maalumu.Few watakuwa wameliona hilo.
 
Nchi hii vyombo vya ulinzi na usalama vinavyojitahidi kwenye maslahi ni JWTZ na.

TISS mkuu, urefu wa course siyo hoja sababu ni Polisi pekee ndio course yao ya awali ni mwaka mzima ila wengine wote JWTZ, TISS, Uhamiaji, Magereza, Zimamoto ni miezi sita, scale ya mishahara na posho kwa vyombo vilivyopo chini ya wizara ya mambo ya ndani ni almost inalingana
Asante sana jadda.

Vipi kuhusu takukuru?(Pccb)na DCEA
 
Kwamba wenye madaraja ya chini ya ufaulu ndiyo wanastahili kuwa polisi hapa Tanzania. Kwamba ndiyo hawa hawa wanatakiwa kufanya upelelezi na kuchukua maelezo ya watuhumiwa mbalimbali......aiseeee
 
Kwamba wenye madaraja ya chini ya ufaulu ndiyo wanastahili kuwa polisi hapa Tanzania. Kwamba ndiyo hawa hawa wanatakiwa kufanya upelelezi na kuchukua maelezo ya watuhumiwa mbalimbali......aiseeee
Madaraja yako ya juu. Hayawasaidii wanasema, halafu mpka leo wanamind kwann tuliwanyima majibu mkuu
 
au nitoe lonja nyingine,kuna 320
emoji344.png
halafukuna 3200+
emoji347.png
emoji338.png
Kaka hizi lonja mtu km mm Leo nakuna ndevu tu maan sielewi apo zinamaanisha nn
 
Back
Top Bottom