Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

mnaweza mkawa wote pale mnapiga kozinlakini ni kozi mbili tofauti kila watu kivyao
ivi mkuu kwenda mission ni lazima?? Maana hizi ambush Wana wanapotea sana kwa kupigwa chuma huko mipakani na kutuliza amani huko nchi nyingine
 
mnaweza mkawa wote pale mnapiga kozinlakini ni kozi mbili tofauti kila watu kivyao
Special course huwa ni wale wanaotoka moja wa moja kitaani, ndo wengine wanachomekewa humo ila hawa wa Military science siku hizi wanaunganishwa tu wotee tu Ingawa majeshi hayakaliliki
 
ivi mkuu kwenda mission ni lazima?? Maana hizi ambush Wana wanapotea sana kwa kupigwa chuma huko mipakani na kutuliza amani huko nchi nyingine
Wanasema ops za nje tofauti na sifa husika na muundo ukikukubali unaenda, ila siku hizi watu wanapiganisha tu kwa Umalaya wa pesa za UN. Hizi ops za ndani ni kama majukumu tu ya kila siku
 
Wanasema ops za nje tofauti na sifa husika na muundo ukikukubali unaeda, ila siku hizi watu wanapiganisha tu kwa Umalaya wa pesa na UN. Hizi ops za ndani ni kama majukumu tu ya kila siku
Nasikia watu wanapiganisha hatari waende zao mission huko nje wakale mpunga wa UN
 
ivi mkuu kwenda mission ni lazima?? Maana hizi ambush Wana wanapotea sana kwa kupigwa chuma huko mipakani na kutuliza amani huko nchi nyingine
***** hapa ugumu wa majeshi aseeee ishu za kula chuma aseeee
 
Tupo tuliotuma maombi ya forest gurd mwezi wa 8 mpaka leo kimya upande wa mwanza tfs na Dodoma na kibaha sector ya mali asili ni changamoto kuita watu usahili inaenda miezi minne na bado kimya
Wana watu wao hao wanadanganya vijana tu.
 
Back
Top Bottom