Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Huko JW nasikia washaanza kupiga simu..

Nani mwengine aliyesikia hii Lonja?

Zafrain sag
Mwagabona
Jadda
Sijaisikia hii ila it could be possible and i was expecting that anytime soon, maana kama Military Science wameshaitwa basi kituo kinachofuata obviously ni Msata wale wa RTS, ronja niliyoipata ni kwamba course inaweza anza January au ikichelewa sana basi February so huu ndio muda wa simu na meseji
 
Back
Top Bottom