Nafikiri ungeuliza kwa mtu anayetaka kuwa police mwisho ni miaka mingapi, traffic ni kitengo ndani ya police ambacho waweza pangiwa muda wowote as long as wewe ni police, kuna matraffic wazee wengi tuKwa mtu anaetaka kua traffic mwisho ni miaka mingapi
Leo wamekuja.Uhamiaji wanakuja lini tena?
Noma sanaaaaHaya wale wa kwa Raphael
Ni muda wa kurudisha kilomita nyuma kwa odometer.Ayaa iyo.apo imetoka saiviView attachment 2857011
Oya mzee..naomba nije pm.kila la kheri katika mapambano na UT
Takukuru(PCCB)lini?Ayaa iyo.apo imetoka saiviView attachment 2857011
karibu chiefOya mzee..naomba nije pm.
Maelekezo yako juu sana.Leteni lonja za usahili Uhamiaji maana majina yasije kutoka alafu mkaanza kuuliza maswali yanakuaje....ombeni Uhamiaji Mwaka huu naskia wanachukua wengi
Chief wewe ni real hustle..kwa watakao itwa uhamiaji interview domu
sisi tuitolewa model hii ya maswali mwaka jana.
1. dfn passport,refugee,immigration,citizen ship
2.benefits of immigration
3. write national song (in swahili)
4. African blocks that tanzania is the member
5.multiple choice,matching items za entry and exit points za nchi, CGI, asylum seeker, MOHA pitieni wakuu
maswali yao uijue civics,current news, isome website yao na immigration act and client charter.
kila la kheri wakuu,kitaa sio poah
Shukrani kwa nondo mkuu.kwa watakao itwa uhamiaji interview domu
sisi tuitolewa model hii ya maswali mwaka jana.
1. dfn passport,refugee,immigration,citizen ship
2.benefits of immigration
3. write national song (in swahili)
4. African blocks that tanzania is the member
5.multiple choice,matching items za entry and exit points za nchi, CGI, asylum seeker, MOHA pitieni wakuu
maswali yao uijue civics,current news, isome website yao na immigration act and client charter.
kila la kheri wakuu,kitaa sio poah
nitafurahi sana ukiingia mzigoni, na wale jamaa zangu kama wanne hvii ambao tumekuwa tukizisaka hizi nafasi kwa udi na uvumbaShukrani kwa nondo mkuu.
@ least tumepata pa kuanzia baada ya application process.
Ishi sana mwanetu mfwende sawadogo
Yaaah ni compulsory ... otherwise una connection nzitoWakuu hiki kigezo cha JKT ni lazima? Nashindwa kuomba kwasababu sikupitia JKT nilivomaliza form 6