Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Nafikiri ungeuliza kwa mtu anayetaka kuwa police mwisho ni miaka mingapi, traffic ni kitengo ndani ya police ambacho waweza pangiwa muda wowote as long as wewe ni police, kuna matraffic wazee wengi tuKwa mtu anaetaka kua traffic mwisho ni miaka mingapi