Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Mambo yanaendaje wanaharakati

Kuna kipengele cha CV je nayo hii inaandikwa kwa mkono ? Au tunaoprinti ?
 
huko ndo hata kutangaza hawatangazi bora hao wanaotangaza,na wakitoa tangazo mnakuja kushihudia watu wanamaliza
Aise jw mambo yao km tiss vile utaskia watu wapo zoezi la porini...., Lini wameenda ndo haieleweki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…