Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Mbona watu wa bendi walichukuliwa na kikosi cha bendi na pilots walichukuliwa na wahusika wa kikosi cha anga kule kurasini tulivyoenda..ina maana hawakufanyiwa usaili? Sifahamu kuhusu divers
Yeah.
Ila ss sielew wale watu watangazo la mwisho kama walikuwa pale kurasini ama laa
 
Bei ndo efu mbili me nataka nitume kesho uhamiaj?

Boss nashauri tuu kwa uhamiaji nahisi utakua umechelewa sababu deadline ni kesho tar 13 October.....nashauri utume zimamoto wao bado hadi tar 15 October.
 
Hayo ni maelezo ya kawaida sana, hujaniongezea jambo jipya kutoka kada hiyo. Jua ivo tu
 
Boss nashauri tuu kwa uhamiaji nahisi utakua umechelewa sababu deadline ni kesho tar 13 October.....nashauri utume zimamoto wao bado hadi tar 15 October.
Kwani kesho si ndo mwisho mikoa yote lazima wataweka muda wa kukusanya maombi .........
 
Kuna baba kanituma mkoani wengi Sana mungu asaidie nafasi ziwe nyingi Sababu hali ni tete zikiwa chache [emoji2][emoji120]
 
Hilo halikwepeki mkuu.. more than 60% Ni wao.... Cku hzi bila refa kutoboa n kazi bro
 
Kuna mwamba yeye hata interview hajafanya ila tulikuwa naye kwenye vipimo na mwamba yeye anasalimiana na wakubwa tu mpaka tunamshangaa pia baadhi ya mambo achangamani na cc [emoji2][emoji2] anaambiwa Kabisa ww kaa hawa ndio wasimame
 
Duh, sasa bogi la uhamiaji itakuaje
 
Hilo halikwepeki mkuu.. more than 60% Ni wao.... Cku hzi bila refa kutoboa n kazi bro
Simbachawene kajibu ajuavyo yeye ila kiuhalisia mfumo wa usailishaji na upitishaji watu kwnye hizi ajira bado upo mikononi mwa watu kwa asilimia kubwa sana ...bado ajira zitaendelea kuwa za upendeleo tofauti na alivyojibu bora kajibu hakuna mfumo wakueleweka wakupunguza hii changamoto
 
Yani kupitia form six yule jamaa nadhan atakuwa kuna vigezo hana ndio mana kakimbia oral but body yani anapitishwa njia za panya tu ***** [emoji2]
Hahahaha maisha ndivo yalivo kaka hakuna namna
 
Kuna mwamba yeye hata interview hajafanya ila tulikuwa naye kwenye vipimo na mwamba yeye anasalimiana na wakubwa tu mpaka tunamshangaa pia baadhi ya mambo achangamani na cc [emoji2][emoji2] anaambiwa Kabisa ww kaa hawa ndio wasimame
Hehehehehe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…