Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Kuna mwamba yeye hata interview hajafanya ila tulikuwa naye kwenye vipimo na mwamba yeye anasalimiana na wakubwa tu mpaka tunamshangaa pia baadhi ya mambo achangamani na cc [emoji2][emoji2] anaambiwa Kabisa ww kaa hawa ndio wasimame
Usaili wa PT au MT?
 
Hivi mfano baba ako RPC au hata OCD unaandika barua za nini ..hao ndio huwaoni kwenye usaili unakutana nao CCP

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Baba yangu alikuaga na cheo kimoja wapo cha utawala ulichotaja hapo,cheo cha kijeshi SSP,sema sir God alimpenda zaidi.
Napambana na hali yangu.
 
Wataalam tueleweshane kidogo, Kuhusu suala la kusoma ukiwa umeajiriwa.

1. Kwenda Degree nje ya Jeshi, vipi ugumu wake kuipata hii nafasi na je inasaidia upandaji wa cheo baada ya wewe kuhitimu.?

2. Kwenda Military course yani kozi za ndani ya chombo..VP ugumu wake kupata na hii inaweza kukupeleka cheo kama officer kutoka chini ( mfano Sisi wa form 6)..!?

Mliopo ndani ya chombo au wenye experience na hii kitu msaada tafadhali...Naona uvumi wa kuwepo chances ndogo za kwenda kusoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…