Bia Ya Moto
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 1,227
- 2,816
Kanali yupo kundi la 2 la maafisa wa jeshi,sema wapo wengi sana kwasasa hivyo ushawishi wake utambeba kulingana na alipo ila siyo kila kanali anao huo uwezo.Kanali ni mtu mkubwa sana jeshini... Just imagine yule anayemlinda rais ana cheo cha ukanali... So anaweza fanya kity
Kwa maana nyingine brigedia gen - General ni senior officers class 1Kanali yupo kundi la 2 la maafisa wa jeshi,sema wapo wengi sana kwasasa hivyo ushawishi wake utambeba kulingana na alipo ila siyo kila kanali anao huo uwezo.
1.Maafisa majenerali(brig-jenerali)
2.Maafisa wakubwa(meja-kanali)
3.Maafisa wadogo(luteni usu-kapteni)
Tatzo huyo mzee ni faza wa jamaa yangu sasa si unajua mtu mweusi kumpambania mtu ambae sio damu yake kuna uzito flan.We jamaa hivi vitu sio vya kuuliza publicly..hayo mambo unayafanya chini kwa chini...kama una hiyo connection ruka nayo sio kuiulizia publicly
Sema wazee tujitahid na sisi tuweke mifumo mizuri kwa vizazi vyetu aisee daaah ili kuondokana na hii migogoro ya nafsi.
Haiwezekan kuna watu wana uhakika hafu wengine hatuna uhakika mfano mimi gharama kibao nimetumia.....Kabisa mkuu
😂😂😂😂Haiwezekan kuna watu wana uhakika hafu wengine hatuna uhakika mfano mimi gharama kibao nimetumia.....
Sema wadau mkipata mtoe mrejesho ili tujue kuwa wengine hatukuwa na bahati tu.
Nafasi zipi? Uhamiaji au polisi? Baba kanituma wapo tu kijana hata ufanyajeIssue iko huko juu aise asikwambie mtu maana kuna mwanangu mmoja OP makao makuu anakaka yake tumbo moja uhamiaji ana nyota tatu lakini analia kuwa hizi nafasi zimekaa ovyo, yani hata baba kanituma , hamna kitu, kama unavigezo na umeitwa usahili jipe 80% kuwa utapenya..
Unajua hizi nafasi zimetoka chache sana ndo maaana unaona kuna attention kubwa sana , kwa kuwa kuna range kubwa sana ya kutoajiri muda mrefu , kwa mantiki hiyo hata wakuu wenyewe wanaogopa kuchomeka watu wao. Niamini mimi na kama itakuwa ivyo basi ni moja ya kumi, au haijasikia Mama kasema yeye hata ongea na mtu ila kalamu itasemaNafasi zipi? Uhamiaji au polisi? Baba kanituma wapo tu kijana hata ufanyaje
Kidogo ww umeeleza ukweli. Naona hili limekaa sawa. Koz kuna nafasi zilitoka baada ya watu kutuma maombi ya tangazo la kwanza. Kwa maana hio polisi wanauhitaji mkubwa kuliko vyombo vingineZa ndani kabisa nafasi ziko 4200, Mara ya kwanza zilitolewa 3200 kwa ajili ya PT tu(Hizi alitoa mama moja kwa moja) mara ya pili zikatolewa nyingine na wizara kwa ajili ya majeshi yote yaliyopo chini ya wizara husika mgawanyiko (UT 300+,MT 700+, ZT 200+,PT 1000(constables)), Sasa jumlisha zile 3200 za mama pamoja na hizi buku za wizara utapata majibu..
Hata private anaweza fanya mambo ni vipi yuko karibu na ua waridi ndiyo la msingi..
Jibu zuri sana maana hii nshaiona ..private akampiganishia service akaenda RTSHata private anaweza fanya mambo ni vipi yuko karibu na ua waridi ndiyo la msingi..
Kipindi cha Mwenda zake alishawahi kuajiri polisi mbona, kuna mdogo wangu aliajiriwa na PT kipindi kile ila alihusika kwenye ujenzi wa ukuta ule wa melelaniLakin naona polisi kuna huaba wa watenda kazi sana.
Mm naona watachukua wengi koz toka kipindi cha mwenda zake haja ajari toka haingie madarakani, alikua akiombwa kuajiri anasema anajenga nchi
Kama ni 3200 na ziliongezwa nyingine , 1000 basi ujue ni kweli.
Kwahio vijana jiandaen kwenda koz ya awali ya jeshi la polisi
Labda tatazo liwe ni capacity ya CCP, yaani kuacommodate watu zaid ya elfu tano
Lakin naona, kwa hili watakuwa wamejiandaa na mapaka sasa maandalizi yanafanyika
Hii sio ronja.Lakin naona polisi kuna huaba wa watenda kazi sana.
Mm naona watachukua wengi koz toka kipindi cha mwenda zake haja ajari toka haingie madarakani, alikua akiombwa kuajiri anasema anajenga nchi
Kama ni 3200 na ziliongezwa nyingine , 1000 basi ujue ni kweli.
Kwahio vijana jiandaen kwenda koz ya awali ya jeshi la polisi
Labda tatazo liwe ni capacity ya CCP, yaani kuacommodate watu zaid ya elfu tano
Lakin naona, kwa hili watakuwa wamejiandaa na mapaka sasa maandalizi yanafanyika
Wakati wa usaili niliongea na POT mmoja pale kilwa akanipa lonja kuwa CCP inameza mpaka kurutu 5000+ ni chuo cha kimataifa kinachohudumia POT pamoja na nchi jirani.Lakin naona polisi kuna huaba wa watenda kazi sana.