Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Kanali ni mtu mkubwa sana jeshini... Just imagine yule anayemlinda rais ana cheo cha ukanali... So anaweza fanya kity
Kanali yupo kundi la 2 la maafisa wa jeshi,sema wapo wengi sana kwasasa hivyo ushawishi wake utambeba kulingana na alipo ila siyo kila kanali anao huo uwezo.

1.Maafisa majenerali(brig-jenerali)
2.Maafisa wakubwa(meja-kanali)
3.Maafisa wadogo(luteni usu-kapteni)
 
Kwa maana nyingine brigedia gen - General ni senior officers class 1
Meja mpaka canali ni senior officers class 2 na luten usu mpaka kempteni hao ni ma junior officers
 
Leo tena imepita bila PT kutoa majina ya walio chaguliwa. Tukutane wiki ijayo tena hapa hapa kwenye uzi wetu. Aluta Continua.
 
We jamaa hivi vitu sio vya kuuliza publicly..hayo mambo unayafanya chini kwa chini...kama una hiyo connection ruka nayo sio kuiulizia publicly
Tatzo huyo mzee ni faza wa jamaa yangu sasa si unajua mtu mweusi kumpambania mtu ambae sio damu yake kuna uzito flan.
 
Issue iko huko juu aise asikwambie mtu maana kuna mwanangu mmoja OP makao makuu anakaka yake tumbo moja uhamiaji ana nyota tatu lakini analia kuwa hizi nafasi zimekaa ovyo, yani hata baba kanituma , hamna kitu, kama unavigezo na umeitwa usahili jipe 80% kuwa utapenya..
 
Nafasi zipi? Uhamiaji au polisi? Baba kanituma wapo tu kijana hata ufanyaje
 
Unajua hizi nafasi zimetoka chache sana ndo maaana unaona kuna attention kubwa sana , kwa kuwa kuna range kubwa sana ya kutoajiri muda mrefu , kwa mantiki hiyo hata wakuu wenyewe wanaogopa kuchomeka watu wao. Niamini mimi na kama itakuwa ivyo basi ni moja ya kumi, au haijasikia Mama kasema yeye hata ongea na mtu ila kalamu itasema
 
Za ndani kabisa nafasi ziko 4200, Mara ya kwanza zilitolewa 3200 kwa ajili ya PT tu(Hizi alitoa mama moja kwa moja) mara ya pili zikatolewa nyingine na wizara kwa ajili ya majeshi yote yaliyopo chini ya wizara husika mgawanyiko (UT 300+,MT 700+, ZT 200+,PT 1000(constables)), Sasa jumlisha zile 3200 za mama pamoja na hizi buku za wizara utapata majibu..
Kidogo ww umeeleza ukweli. Naona hili limekaa sawa. Koz kuna nafasi zilitoka baada ya watu kutuma maombi ya tangazo la kwanza. Kwa maana hio polisi wanauhitaji mkubwa kuliko vyombo vingine
 
Lakin naona polisi kuna huaba wa watenda kazi sana.

Mm naona watachukua wengi koz toka kipindi cha mwenda zake haja ajari toka haingie madarakani, alikua akiombwa kuajiri anasema anajenga nchi

Kama ni 3200 na ziliongezwa nyingine , 1000 basi ujue ni kweli.

Kwahio vijana jiandaen kwenda koz ya awali ya jeshi la polisi

Labda tatazo liwe ni capacity ya CCP, yaani kuacommodate watu zaid ya elfu tano

Lakin naona, kwa hili watakuwa wamejiandaa na mapaka sasa maandalizi yanafanyika
 
Kipindi cha Mwenda zake alishawahi kuajiri polisi mbona, kuna mdogo wangu aliajiriwa na PT kipindi kile ila alihusika kwenye ujenzi wa ukuta ule wa melelani
 
Lakin naona polisi kuna huaba wa watenda kazi sana.

Mm naona watachukua wengi koz toka kipindi cha mwenda zake haja ajari toka haingie madarakani, alikua akiombwa kuajiri anasema anajenga nchi

Kama ni 3200 na ziliongezwa nyingine , 1000 basi ujue ni kweli.

Kwahio vijana jiandaen kwenda koz ya awali ya jeshi la polisi

Labda tatazo liwe ni capacity ya CCP, yaani kuacommodate watu zaid ya elfu tano

Lakin naona, kwa hili watakuwa wamejiandaa na mapaka sasa maandalizi yanafanyika
Hii sio ronja.
Hii ni taarifa
 
Wakati wa usaili niliongea na POT mmoja pale kilwa akanipa lonja kuwa CCP inameza mpaka kurutu 5000+ ni chuo cha kimataifa kinachohudumia POT pamoja na nchi jirani.
 
Kumbe watu bado mnaitaka ajira ya polisi? Mbona huwa tunashirikiana wote kuwatukana humu ? Sikutegemea tungesalitiana mapema kiasi hiki naona lonja tu za uongo na kweli
 
Back
Top Bottom