Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Sema vijana mnaopenda majeshi nafasi kama za Suma Guard zikitoka msiache kuomba maana niliwahi kusikia siku za mbeleni nao wataingizwa kwenye vyombo vya ulinzi vya JMT kwahiyo kuwa sawa na vyombo hivi vingine.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Labda useme jkt ila sio suma guard
 
Nalipenda Jeshii Nilitimba mpaka kambini oljoro 833kj lakini wapiiii... Aisee kama Mungu hajakupangia ni hajakupangia tuuu
 
Nje ya mada kuu jamani.... Naombeni kuuliza hv wale walinzi wanaolinda bandarini ni kutoka jeshi gani??
 
Mtakuja tu madogo na mtatukuta tuwape ukamanda ,wala sio mda mrefu
 
Sisi wa mwaka 2009 [emoji3525][emoji3525] hatuna nafasi maana nafasi zimetoka kwa watoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…