Living Pablo
JF-Expert Member
- May 17, 2020
- 3,549
- 10,995
Fafanua mkuu 100 kiaje na uwa lini??100 tu
Tanapa nao wametoa wadau sema nafasi chache
Hapana huwa wanatangaza kupitia ajira.go.tz kama ilivyo kwa mamlaka ya vjwanja vya ndege..Wao kuchukua ndo kimyakimy
Ni sawa kabisa,la msingi vijana waitwe tu hata ikiwa sasa hivi nina uhakika wamejiandaa tayari.Kuripoti kwa askar ccp hakuzuii kuruti kwenda.. ccp ni kubwa sana. Kuna kilele poli kuna kilimanjaro na n.k.. kuruti anaweza asionane na askari wa kutafta nyota miezi yote ya kozi...
Lakin kaa ukijua kwamba kuruti anaenda kabla ya january.. hilo swala la january halipo..
Haya mambo waachie wandani usiskilize story za pongo wako (constable) yeye pia hajui lolote kama wewe anasubiri maelekezo tu.
TANAPA ndo wametoaFafanua mkuu 100 kiaje na uwa lini??
Uvumilivu kwenye hakunaHahahahah, Awiiiih (kwa sauti ya Afande IGP Simon S)
Kuweni wavumilivuu.. Mambo mazuri hayataki haraka.
Kataa ila huo ndo ukweli ..kozi januaryKatika jambo sipend kusikia humu ni swala la kua et PT wanatoa pdf yao january jambo ambalo halina ukweli kabisa...
Tangazo la kazi mwezi wa 8
Usaili mwezi wa 9
Kuitwa kozi mwezi wa 1.
Ushawahi kuona wapii.. taasisi zote huwa wanajipanga kwenye mtiririko wa matukio hawakurupuki .. hivyo mnaosema kozi jnuary mnajidanganya.
Lonja: Kuanzia jana kuna walio anza kuingia ccp kupiga kozi ya nyota. Wengine tena !!
Unamaanisha tutaitwa kakaKwanza niwatoe wasiwasi kama uliitwa kwa ngazi ya elimu ya juu basi asilimia 90 tegemea kuona jina lako majina n mengi asee
90 asilimia lazima muitweUnamaanisha tutaitwa kaka
Mmmh mgawanyiko wa nafasi zile upo hivi:-Kwanza niwatoe wasiwasi kama uliitwa kwa ngazi ya elimu ya juu basi asilimia 90 tegemea kuona jina lako majina n mengi asee
Stashahada? Huu mchanganuo tuwaachie wenyewe PT na Utumishi.Mmmh mgawanyiko wa nafasi zile upo hivi:-
Degree(Elimu ya Juu) - Nafasi 115
Certificate(astashahada)- Nafasi 268
Form 6(PCM,PGM,PCB) - Div 3 &4- Nafasi 173
Form 4(Div 4-29,30,31 &32- Nafasi 2765.
Kwaiyo jumla kuu ya nafasi za PT ni 3321.
Umeipata wap hii?Mmmh mgawanyiko wa nafasi zile upo hivi:-
Degree(Elimu ya Juu) - Nafasi 115
Certificate(astashahada)- Nafasi 268
Form 6(PCM,PGM,PCB) - Div 3 &4- Nafasi 173
Form 4(Div 4-29,30,31 &32- Nafasi 2765.
Kwaiyo jumla kuu ya nafasi za PT ni 3321.
Usahil unarudiwaHapo kwenye Red mwenye taarifa zaidi kinacho endelea atupe View attachment 1979399